Elimubomba
Senior Member
- Jul 27, 2017
- 111
- 46
Maisha ya mafanikio na uhuru wa fedha ni jambo linalotafutwa na kila mmoja wetu, lakini ni wachache mno huwa wanafanikiwa. Hii ni kwa sababu kuna wanaotaka na wanaotamani mafanikio na uhuru wa fedha. Mara zote watu wanaotaka mafanikio na uhuru wa fedha hujituma kwelikweli ili kufikia uhuru huo wa kifedha wakati wanaotamani mara zote hutafuta njia rahisi na za mkato za kufanikiwa.
MATOKEO
Wanaotaka: Mafanikio hujitokeza
Wanaotamani: Kufeli kukubwa kusiko na matarajio
MATOKEO
Wanaotaka: Mafanikio hujitokeza
Wanaotamani: Kufeli kukubwa kusiko na matarajio
Take your side!