Mafanikio makubwa Sekta ya Kilimo nchini; Mauzo ya korosho ya Tanzania yaongezeka kutoka tani 27 hadi tani 1007

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,208
4,703
Serikali ya China imeahidi kununua zaidi bidhaa za kilimo na Uvuvi kutoka Tanzania.

Ahadi hiyo imetolewa leo jijini Beijing katika Mkutano wa Balozi Kairuki na Rais wa Taasisi ya China Chamber of Import and Export of Foodstuff Ndugu CAO Derong.

Takwimu zilizopo zinaonyesha kuwa Mauzo ya korosho kutoka Tanzania kwenda China yameongezeka kutoka Tani 27 mwaka 2017 hadi kufikia Tani 1007 katika mwaka 2020.

Tuliahidi & Tumetekeleza

c6-01-768x544.jpg
 
Back
Top Bottom