HakiKwanza_2015
JF-Expert Member
- Nov 16, 2022
- 384
- 560
Women are stupid!!! Mnapendaga sana kutumika. Sasa mwanaume mwenye mke wake na familia kabisa unammanulia kwanini??? Ndo maana single mothers ngumu kuolewa maana wanachoamini ndo kilichopoNiliachana na baba mtoto wangu,akapata mke mwingine na ana mtoto saizi kwa uyo mke wake,lakini kila akikutana na Mimi anataka tuendelee Ku sex tu alafu tukimaliza ananipa p2,safari hii nimeamua kumkazia Nimemwambia sitaki Nina mahusuano yangu lakini asikii siku ya tatu Leo namkatalia lakini bado anapiga piga simu kudai sex.


