Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 11,988
We nae sijui ndio umeamka fei wa nini tena na mambo yake ya kizañzibariKiungo bora wa Tanzania ni Fei Toto, anajua kudribble, anayocontrol, ana pasi za uhakika, Fei namfananisha na Lionel Messi
Feitoto ndio mchezaji aliongoza kupata kadi za njano katika ligi kuu Tanzania bara msimu wa 2018/2019Kiungo bora wa Tanzania ni Fei Toto, anajua kudribble, anayocontrol, ana pasi za uhakika, Fei namfananisha na Lionel Messi
Huyu Jamaa alitokea Arusha kwenye mashindano ya vijana ya mikoa nadhani akacheza na timu ya AFC then akatimkia VitaloFC ya BurundiHuyu kijana nimekuwa namsikia toka yule kocha wa kibrazil Yupo Tanzania mpaka sasa
Napenda sana mchezo wake huwa namfananisha na andrea pirlo Yule wa The azures Au taribo west wa super eagles
Kwa stail yake ya uchezaji sio rahisi kumuona akipoteza pasi,sio rahisi kuona akifanya faulo za kizembe
Ni Wachezaji wachache wanaoweza kujitunza kama erasto kwa soka la Tanzania kwa kuwa soka la Tanzania halieheshimu vipaji vya Wachezaji ila siasa nyingi
Huwa nafurahi zaidi kumwona anapocheza timu ya Taifa akiwa na yondani
Naomba mwenye Maelezo yake kwenye carrier yake toka anaanza hadi hapa alipofika
Ni moja ya Wachezaji wa kitanzania ninaowakubali sana
Moderetors mkipendezwa huu uzi muwekee stick kumuenzi huyu kiungo maridadi wa mpira kuwahi kutokea nchini
Ngoja waje nachofahamu alipita Vital'O ya Burundi ndo akaenda Azam.
Huyu Jamaa alitokea Arusha kwenye mashindano ya vijana ya mikoa nadhani akacheza na timu ya AFC then akatimkia VitaloFC ya Burundithen Azam wakamrudisha bongo
Jamaa kama ana miaka michache ni 40
Umejua kunifurahisha..Kiungo bora wa Tanzania ni Fei Toto, anajua kudribble, anayocontrol, ana pasi za uhakika, Fei namfananisha na Lionel Messi
Miaka 40 hajafikisha sababu huyu ameonekana kwenye mpira tokea akiwa kijana mdogo amezaliwa mwaka 1985Basi atakuwa anatunza sana mwili wake amevunja records nimeona juzi kwenye mtandaoni samweli etoo amestaafu akiwa na 38 yrs
But hata huyu inawezekana hajafikisha 40