Maestro Erasto Nyoni: Miguu ya dhahabu isiyoisha utamu

Kawe Alumni

JF-Expert Member
Mar 20, 2019
8,685
11,987
Huyu kijana nimekuwa namsikia toka yule kocha wa kibrazil Yupo Tanzania mpaka sasa
Napenda sana mchezo wake huwa namfananisha na andrea pirlo Yule wa The azures Au taribo west wa super eagles

Kwa stail yake ya uchezaji sio rahisi kumuona akipoteza pasi,sio rahisi kuona akifanya faulo za kizembe

Ni Wachezaji wachache wanaoweza kujitunza kama erasto kwa soka la Tanzania kwa kuwa soka la Tanzania halieheshimu vipaji vya Wachezaji ila siasa nyingi

Huwa nafurahi zaidi kumwona anapocheza timu ya Taifa akiwa na yondani

Naomba mwenye Maelezo yake kwenye carrier yake toka anaanza hadi hapa alipofika

Ni moja ya Wachezaji wa kitanzania ninaowakubali sana

Moderetors mkipendezwa huu uzi muwekee stick kumuenzi huyu kiungo maridadi wa mpira kuwahi kutokea nchini

...............................................................
Historia fupi katika maisha yake ya soka

Kipaji chake kiliibuliwa katika mashindano ya vijana mkoa wa Arusha
Baada ya hapo alisajiliwa na AFC ya mkoani Arusha baadaye alitimkia katika club ya VITALO FC ya nchini Burundi kabla ya Azam kumrudisha nchini na kuwa mchezaji tegemeo na sasa anacheza klub cha simba sc

Tutaendelea kuiweka hapa historia yake
 
Kiungo bora wa Tanzania ni Fei Toto, anajua kudribble, anayocontrol, ana pasi za uhakika, Fei namfananisha na Lionel Messi
 
Hapa ndio nilimuelewa Makonda kwa nn aliwaambia hakuna kustaafu. Wakistaafu hawa jamaa Nyoni na Yondani haitakua rahisi kuziba pengo lao
 
Mvinyo unavyo zidi kukaa sana ndio huzidi kuwa mtamu .... Nyoni ni moja kati ya wachezaji wazuri sana niliowahi kiwashuhudia hapa nchini.

Jamaa ni kiraka, halafu ni mchezaji kiongozi awapo uwanjani
 
Huyu kijana nimekuwa namsikia toka yule kocha wa kibrazil Yupo Tanzania mpaka sasa
Napenda sana mchezo wake huwa namfananisha na andrea pirlo Yule wa The azures Au taribo west wa super eagles

Kwa stail yake ya uchezaji sio rahisi kumuona akipoteza pasi,sio rahisi kuona akifanya faulo za kizembe

Ni Wachezaji wachache wanaoweza kujitunza kama erasto kwa soka la Tanzania kwa kuwa soka la Tanzania halieheshimu vipaji vya Wachezaji ila siasa nyingi

Huwa nafurahi zaidi kumwona anapocheza timu ya Taifa akiwa na yondani

Naomba mwenye Maelezo yake kwenye carrier yake toka anaanza hadi hapa alipofika

Ni moja ya Wachezaji wa kitanzania ninaowakubali sana

Moderetors mkipendezwa huu uzi muwekee stick kumuenzi huyu kiungo maridadi wa mpira kuwahi kutokea nchini
Huyu Jamaa alitokea Arusha kwenye mashindano ya vijana ya mikoa nadhani akacheza na timu ya AFC then akatimkia VitaloFC ya Burundi then Azam wakamrudisha bongo
 
Huyu kijana ni mchezaji haswa
20190910_172631.jpeg
 
Basi atakuwa anatunza sana mwili wake amevunja records nimeona juzi kwenye mtandaoni samweli etoo amestaafu akiwa na 38 yrs
But hata huyu inawezekana hajafikisha 40
Jamaa kama ana miaka michache ni 40
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom