Maeneo yenye maisha tofauti Dar es Salaam

Da poa sana umenikumbusha mbali sana wote uliowataja nawajua tena washkaji wa kalibu kabisa poa sana maisha yamėtusambaratisha
 
Sasa hivi ADA ESTATE wazungu kama wote wamepanga mule sijui hawaogopi roba za vijana wa kitaa
 
Tuliotoka ushirombo na kuja Dar kipindi mkuu wa mkoa ni call me jay boy tunapewa sana za uso kwenye huu uzi
 
Sasa hivi ADA ESTATE wazungu kama wote wamepanga mule sijui hawaogopi roba za vijana wa kitaa
Hakuna roba kule Ada Estate ila nashanga kwann mitaa kule mfano galu street etc haipigwi lami
Au mtaa wa kwa Dr Andrew kitu ambacho miaka ya 80 lami ilikuwepo,lami ipo kuingilia mbuyuni pale kuelekea kwa ??? Tu
Miaka ya nyuma kinondoni mjini,mwananyamala kote ilikuwa lami na taa juu sahv ukimuona mtu anashangaa lami anafurahia wkt mambo hayo zamani yalikuwepo huoni kama tulirudi nyuma
Mwananyamala kulikuwa na open space na gardens nyingi sahv kote kimejaa garages uchafu mtupu
Watoto hawana pa kucheza watoto wanacheza kimkandamkanda ndoamana wanaingia kwenye makundi ya ovyo na kujifunza tabia za ajabu ajabu

Ova
 
Ray si alikuwa anakaa tabata
Nliskia walikuwa wanagombania dem hko

Ova
Kabla walikuwa wanakaa Upanga karibu Makaburini ya upande Zanaki Sec, mbele ni barabara ya Maktaba Kuu ya Taifa
Nilipokwenda kwenye mazishi walikuewa wanakaa Kigogo sikosei
Nasikia ni Demu ndio ulikuwa mpango wenyewe.
 
Aise Haya mambo yako kila mahali
Mamanzi shida

Ova
 
Science, kijitonyama hadi morocco inapendeza, bora hivi vitu vingejengwa ubungo to kimara ili wageni wakija waone.
 
Attachments

  • FB_IMG_16024330428431896.jpg
    41.5 KB · Views: 3
Science, kijitonyama hadi morocco inapendeza, bora hivi vitu vingejengwa ubungo to kimara ili wageni wakija waone.
Knight support ilikuwa jumba la batenga sasa sjui kaingia ubia au nao waliuza
Kweli moroco kwenda Victoria kna pendeza bora watu wawapishe wenye fedha wafanye yao

Ova
 
Kama una mtu yoyote us unaweza wasiliana nae aje nguo kadhaa, hata kama haji wapo wabongo kibao lazima kila mwaka watinge bongo kutokea us, Akija unamcheulia pesa yake
 
We jamaa wewe Chanukah nyumba za makuti zimeisha?
 
Kama una mtu yoyote us unaweza wasiliana nae aje nguo kadhaa, hata kama haji wapo wabongo kibao lazima kila mwaka watinge bongo kutokea us, Akija unamcheulia pesa yake
Kisu chake kirefu aisee, nguo US ziko juu.

. Hapa Nina jeans 3 haxinitoshi mnashindwa was kuuzia.
 
Mfano nikitaka kidonda kikali(SAA) ya mkononi huko USA dola ngapi hivi
Kama una mtu yoyote us unaweza wasiliana nae aje nguo kadhaa, hata kama haji wapo wabongo kibao lazima kila mwaka watinge bongo kutokea us, Akija unamcheulia pesa yake
 
Mfano nikitaka kidonda kikali(SAA) ya mkononi huko USA dola ngapi hivi
Kwa sasa Nipo bongo, ila kwa mwaka mara moja naenda pale, kuhusu chochote ni pesa yako tu hata ukitaka saa ya dola 500 ni wewe tu.
Vitu vyao ni OG kwa kweli,kuna marashi nilikuwa natumia lazima kila mtu aniulize nimenunua wap
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…