Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,944
- 18,653
Hujafika kagera mzee...kule boda boda ndipo zilipoanzia kwa jina maalufu."asekido".
Sahihi kabisaUmewahi kufika Songea wewe....utadhani viwanda vya Bodaboda vipo kule.
Sahihi kabisa
Unazungumzia Mwanza ipi mkuu maana kila kituo nilichowahi fika Mwanza mjini Nyamagana&Ilemela Bodaboda zipo tu!!Mwanza nadhani ndio hakuna hizo mambo sana, labda huko outcast kbs
Na zinawaua balaaBukoba Mjini
HakufaiHujawahi kufika bukoba mjini.
Hadi daladala zimefutika kabisa
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
mchawi mkubwa ww nenda kwenye matopic yenu ya ccm hukoMbeya bajaji ndiyo zimejaa hadi mtu mda mwingine inabidi ununue dawa ya mbu upulize barabarani labda zitakufa lakini wapi
Yaan mji ukiwa na bodaboda nyingi hata kama umetoka newyork kuvuka barabara ni shida aisee.Na zinawaua balaa
Halafu walivyojawa dharau na viburi Sasa.Yaan mji ukiwa na bodaboda nyingi hata kama umetoka newyork kuvuka barabara ni shida aisee.
Mfano bukoba barabara ya kashozi inabodaboda nyingi mpaka wanaweka traffic ili watu wavuke vinginevyo huvuki Ile barabara
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Hiyo ni ishara pia kuwa eneo Hilo Kuna tatizo la ajira rasmi kwa vijana.Umewahi kufika Songea wewe....utadhani viwanda vya Bodaboda vipo kule.
Usafiri Wa Bodaboda umerasimishwa...hivyo ni ajira rasmi ndo maana lazima walipie Latra.Hiyo ni ishara pia kuwa eneo Hilo Kuna tatizo la ajira rasmi kwa vijana.
Nzi wa kijani huyo anawaza kuua ,kwakuwa ubongo hana anawaza kutumia dawa ya mbu kuua bodaboda.Mchawi tu wewe huna lolote.
Wakiita AsekidoBukoba kwanza walianzia zamani,walichukua utaratibu wa bodaboda kutoka Uganda kipindi ambacho ukubongo bado azijakuwa rasmi.ila nchi kama Uganda tayari zilikuwa ni usafiri rasmi.
Ni kweli kabisa mkuu,Usafiri Wa Bodaboda umerasimishwa...hivyo ni ajira rasmi ndo maana lazima walipie Latra.