Ubaya Ubwela
JF-Expert Member
- Jul 24, 2024
- 3,006
- 7,340
Omera umekumbuka ngomaza kwenu
vipi uliwahi kumfahamu d.o.misiani? kuna wimbo wake mmoja kwenye santuri ya olik tiga,unaijua?Una nikumbusha mbali saana. Open Disco na wapenzi wangu Eva Awour na Magat Othim. Acha kabisa watoto wa Kijaluo hao niliwapenda sana.