Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 69,541
- 122,971
Uwekezaji kama upi?
Kila kijiji kiwe na tractor moja, kuwe na mazao ya kimkakati, halafu kila mkulima awezeshwe pembejeo na kulima minimum heka 3.
Uwekezaji kama upi?
Hizo flyovers, lami, madaraja etc yanajengwa na robot?Watu wanataka pesa mfukoni(maendeleo ya watu) ,hata ukijenga lami hadi mlangoni,flyover hadi kushukia sebuleni etc kama watu hawana fedha,mzunguko hovyo wa pesa kamwe watu hawawezi kukukubali.
Watu wakiwa na Mpunga usipowajengea barabara watajiorganise na kujenga hata ya moramu ,usipowaleta umeme kwakuwa wana fedha wataweka solor,usipowaleta maji kwakuwa wana fedha mifukoni watanunua bolzer au watachimba visima!!!
Hivyo ulivyovitaja mbona vyote ni vitu? Au ni mimi siwaelewi?Kila kijiji kiwe na tractor moja, kuwe na mazao ya kimkakati, halafu kila mkulima awezeshwe pembejeo na kulima minimum heka 3.
Mimi kama hakuna uwekezaji wa kweli kwenye kilimo, hayo maendeleo mengine naona ni ya vitu zaidi.
Hivyo ulivyovitaja mbona vyote ni vitu? Au ni mimi siwaelewi?
Miundombinu ndiyokichocheo kikubwa cha ukuaji wa uchumi kuanzia kwa watu wenyewe, hakutakuwa na pesa mifukoni kama miundombinu mibovu itashamili.Watu wanataka pesa mfukoni(maendeleo ya watu) ,hata ukijenga lami hadi mlangoni,flyover hadi kushukia sebuleni etc kama watu hawana fedha,mzunguko hovyo wa pesa kamwe watu hawawezi kukukubali.
Watu wakiwa na Mpunga usipowajengea barabara watajiorganise na kujenga hata ya moramu ,usipowaleta umeme kwakuwa wana fedha wataweka solor,usipowaleta maji kwakuwa wana fedha mifukoni watanunua bolzer au watachimba visima!!!
Kwani Awamu ya kikwete ilikuwa inagawa fedha kwa wananchi wake? Utawala wa kikwete kulikuwa na maisha bora kwa kila mtz!! Utawala wa JK kulikuwa na mzunguko mkubwa sana wa fedha,sie madalali tulikuwa tunapata fedha daily kwa kupangisha nyumba ,kuuza magari ,kuuza viwanja etcHizo flyovers, lami, madaraja etc yanajengwa na robot?
Sio raia wa kawaida tena wengi tu? Nenda kaombe kazi upate kitu cha kukukwamua sababu Hakuna serikali inayowagawia wananchi wake pesa ya bure
Mnasema jamaa ndio kafanya miundombinu ya kutisha kuliko JK na kama miundombinu ndio kichocheo cha uchumi mbona wakati wa JK GNI ilikuwa USD 200+ ndani ya miaka mi5 lakini utawala wa JIWE GNI ni 54 tu kwa miaka mi5 hiyo inamaanisha utawala wa JIWE ukuaji wa uchumi ni NEIIIII.Miundombinu ndiyokichocheo kikubwa cha ukuaji wa uchumi kuanzia kwa watu wenyewe, hakutakuwa na pesa mifukoni kama miundombinu mibovu itashamili.
Maendeleo ya watu ndio yakoje hayo?Maendeleo ya watu ndo kila kitu ,unajenga reli ambayo haina faida kwa nchi, unarudia uchaguzi asubui na jion Rais asiyekuwa na uwezo ndo anafanya hayo.
Maendeleo ya watu ndio yakoje hayo?
Maendeleo ya watu ndio yakoje hayo?
Fedha za kifisadi na haramuKwani Awamu ya kikwete ilikuwa inagawa fedha kwa wananchi wake? Utawala wa kikwete kulikuwa na maisha bora kwa kila mtz!! Utawala wa JK kulikuwa na mzunguko mkubwa sana wa fedha,sie madalali tulikuwa tunapata fedha daily kwa kupangisha nyumba ,kuuza magari ,kuuza viwanja etc
Ila alivyoingia huyo jamaa wenu aka disturb equilibrium ya uchumi kwa kujifanya mjuaji hivyo akaondoa mzunguko wa fedha na wananchi wakaanza kukosa pesa,biashara kufungwa etc!!
Sasa kwa taarifa yako katika awamu hii ndio imevunja rekodi ya ufisadi,wizi,rushwa ,wateule wa jiwe ndio wapiga deal,Bashite utawala wa kikwete alikuwa anaganga njaa tu lakini alivyoingia JIWE Bashite ni Bilionea , Sitaki kumtaja DED mmoja ni tajiri balaa ,anajenga Ghorofa sehemu tatu tofauti kwa wakati mmoja anaanza mwanzo mpaka mwisho non stop na material ananua mapya hakuna kukodi marine wala 2x4 wala mirunda kwa sites zote!!Fedha za kifisadi na haramu
Zilikuwa zinatokana na kuiba dawa za serikali
Ujangili
Dawa za kulevya
Wizi pesa za halmashauri
Ufisadi bandarini
Ufisadi miradi ya serikali
Rushwa
Utapeli na mambo mengine kama Hayo
Zero brain
Kwa maana hiyo watu wakiendelea watajenga madaraja wenyewe, watanunua matreni wenyewe n.k.... Au unamaanishaje?Ndiyo tatizo la CCM Mpya, Maendeleo ya Watu ni katika kipato halisi, huduma bora za kijamii kama elimu na afya bora halafu wananchi hao wenye afya njema kufuatia shibe ya chakula bora na elimu watafanya Maendeleo ya Vitu.
Mnachofanya CCM Mpya ni kama kumuwekea punda mkokoteni mbele yake ausukume huku hukufanya mazingira bora ya Maendeleo ya mnyama-kazi ( Maendeleo ya Watu) achape kazi na bata.
L7 at workAsante, mpuuzi mmoja wewe. Bila maendeleo ya vitu hakuna maendeleo ya watu! Mfano siku izi unaenda mbwinde kwenu na kurudi mjini kuendekea na shughuri nyingine mjini kwa wakati sababu ya njia zimeboreshwa. Unataka upate pesa ukae nazo matakoni ili watu wakunyenyekee kuomba usafiri? Selfish!
Kwa maana hiyo watu wakiendelea watajenga madaraja wenyewe, watanunua matreni wenyewe n.k.... Au unamaanishaje?