Huyo mama anajua kama umempost jf?
Huyu mama wala haelewi kuwa nchini mwake imegundulika gesi lakini wamepewa Wachina yeye aendelee kupambana na moshi wa kuni .Kuna Chama Kinatumia Neno Mafiga Matatu
1 . Diwani
2 . Mbunge
3 . Rais
Hapo Nimeona Majiko Matatu
Mama Anatabasamu Nyuma Mbao Tele
Maendeleo Hayana Chama
Ndugu Zangu Mniamini Niwafanyizie Kazi
HaaππHuyu mama wala haelewi kuwa nchini mwake imegundulika gesi lakini wamepewa Wachina yeye aendelee kupambana na moshi wa kuni .
Hajui. Kwa hiyo?Huyo mama anajua kama umempost jf?
Anaonesha ana furaha kubwa sana kuliko nyie mnaoishi mjini. Tazama tabasamu hilo, ana majiko ya mkaa na kuni. Thubutu mjini kama hauna pesa uwe na choice hiyo.
HahahahhHajui. Kwa hiyo?
Nini kinachosikitisha kwenye hiyo picha?
Kuni ndo renewable source of energyUharibifu wa mazingira kwa kutumia kuni kama nishati. Tunapaswa kuendeleza matumizi ya Grau ili kuokoa misitu yetu