"Maendeleo hayana chama" hutamkwa bila tafakuri

share

JF-Expert Member
Nov 22, 2008
6,062
10,461
Dhana hii ya "Maendeleo hayana chama" inatumika vibaya na mgombea wa urais kutipitia CCM. Hebu washauri wake wawe wanamuambia Kama mwenyewe hajielewi. Katika kikao hichohicho anawalazimisha wananchi wasiwachague wagombea wa upinzani kwani hatafanyakazi nao, lakini anamalizia kwa kusema maendeleo hayana chama! Inakera sana!
 
JPM Ukikaa Ukamsikiliza kwa Umakini Utang'amua Mambo Mengi Juu Yake.

1) Uwezo Wa Kuzungumza Lugha ya Kiswahili na Kiingereza kwa ufasaha ni Mdogo.

2)Kwa Kupangilia hoja kwa unyoofu na kujenga hoja,Uwezo wake ni mdogo.

3) Baada ya Sentensi nne/tano zinazofuata zinapinga za awali Kwa Mantiki.

4)Huwa anamwagika tu na kufanya Mitindo huru isiyo na Mashiko.
 
Sidhani hata kama ana kumbukumbu vizuri
 
Hakuna awamu ambayo Tanzania imepata Rais mwenye uwezo mdogo wa kufikiri Kama awamu hii ya tano Ni bure kabisa.
 
Hakuna awamu ambayo Tanzania imepata Rais mwenye uwezo mdogo wa kufikiri Kama awamu hii ya tano Ni bure kabisa.

Ni daktari wa maganda ya korosho aliyeua kilimo cha korosho Mtwara!!!! Daktari asiyejua kiingereza alichotumia kusomea udaktari!!!Tehe tehe tehe!
 
Anaboa
 
Hapa nawalaumu wazalendo wasiokuwa halisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…