Mzee Mwanakijiji amekuwa mpiga zomari wa Magufuli. Naye anatamani awe mteule kama mwenzie Slow slow.
Ndiyo maana binafsi siamini kabisa kuwa mabadiliko nchini yataletwa na wasomi hasa wale wenye kufurahia utawala wa CCM! Ni sawasawa na hapa Marekani ambapo historia inatuonesha tofauti ya watumwa wa nyumbanina watumwa wa kondeni.
Watumwa wa nyumbani walikuwa karibu sana na bosi na walipewa mahali pa kula na kulala na walitendewa vizuri zaidi kuliko watumwa wa kondeni. Matokeo yake ni wale watumwa wa kondeni ndio hatimaye waliweza kuwa chachu ya mabadiliko kuliko watumwa wa nyumbani. Maana hawa wa nyumbani kuambiwa kuwa kuna uhuru wanajikuta hawaamini kwamba watoke katika maisha mazuri na kwenda kwenye uhuruhaiingii akilini.
Lakini wenginewalipoweza kufunguliwa kiakili waligeuka wapelelezi wazuri sana; lakini wengine walikufa wakiwa wanafurahia kuitwa mtumwa mzuri kwa bwana wake!....
Haya ni maneno ya Makala ya M.M wanakijiji 2012
this time hujajilinganisha na wale?unafiki umekujaa mpaka unashindwa kuandika mahotuba marefu.acha ukabila wewe mzee fakeMweh; mna kazi kweli sasa ni kipi hapa ambacho si cha kweli?
Nasubiria jibu lake pembeni hapa, zaidi ya nusu saa hapa hajajibuthis time hujajilinganisha na wale?unafiki umekujaa mpaka unashindwa kuandika mahotuba marefu.acha ukabila wewe mzee fake
Wadau tushirikiani kuwaomba wabunge wa CCM wawaonee huruma wananchi kwani wamekuwa masikini hawana maendeleo yoyote licha ya Nchi yao kuwa Na Rasilimali nyingi.Inashangaza kuona Wabunge wa CCM wao wana maendeleo makubwa .Hebu wabunge wa CCM kuweni Na huruma Kwa Wananchi.
Wewe ni wakusamehe tu...Ndugu wananchi maendeleo hayaletwi na vyama vya siasa, maendeleo yanaletwa na watu walioamua kuendelea.
Nchi ikiwa na wananchi walioamua kuendelea itaendelea tu.
Vijana changamkeni tumieni nguvu zenu. Nchi yetu ipo wanasiasa hawataweza hata siku moja kutuletea maendeleo.