Maendeleo hayaletwi na vyama vya siasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maendeleo hayaletwi na vyama vya siasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Annael, Jun 15, 2012.

 1. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #1
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,400
  Likes Received: 10,511
  Trophy Points: 280
  Ndugu wananchi maendeleo hayaletwi na vyama vya siasa, maendeleo yanaletwa na watu walioamua kuendelea.

  Nchi ikiwa na wananchi walioamua kuendelea itaendelea tu.

  Vijana changamkeni tumieni nguvu zenu. Nchi yetu ipo wanasiasa hawataweza hata siku moja kutuletea maendeleo.
   
 2. MNAMBOWA

  MNAMBOWA JF-Expert Member

  #2
  Jun 15, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,984
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  CCM ikihimiza watu wajitume kwa kufanya kazi, CHADEMA wanahimiza watu waandamane.
   
 3. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Piganeni kiume,Hakuna kiumbe kinakubali kuny'anywa maslahi yake kiulaini laini tu. CCM Piganeni mpaka dakika ya Mwisho.
   
 4. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,400
  Likes Received: 10,511
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa.
   
 5. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo wakati Kikwete anatoa ahadi za kuleta maendeleo alikuwa ameingiwa na mapepo? au yeye sio mwanasiasa?
   
 6. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,400
  Likes Received: 10,511
  Trophy Points: 280
  Wewe kijana au mzee? wewe ni KE au me?
   
 7. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Tumieni akili, post yako inapingana na ya mwenzako. sababu hapa unamaanisha kwamba ccm inajitahidi kuleta maendeleo lakini mwenzako anamaanisha kwamba hata ccm hawawezi kuleta maendeleo. ila nimeona kakupa LIKE apo juu, sasa sijui Kichwa maji kati yako na yeye ni nani?
   
 8. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #8
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Tuendelee na mjadala, si umeanzisha wewe, mbona unaanza kuhangaika.
   
 9. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #9
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Unaona, Unakubaliana na kitu unachokipinga, huu ni uhayawani au nini?
   
 10. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #10
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,400
  Likes Received: 10,511
  Trophy Points: 280
  Dada Sangara sikiliza nikuambie ndugu yangu hawa wanasiasa wapo kwa ajiri ya faida yao. Kunawatu wamaumia kwaajiri ya kushabikia siasa. Wanaandamana, wanafanyafujo, wanashabikia wanasiasa matokeo yake ni nothing.

  Kwann sisi kama wananchi tuamue kuachana na ushabiki usio na tija na tukajikita katika maendeleo?
  Tunaweza tukithubutu na tutasonga mbele. Hivi wewe nikuulize CDM wakiongoza nchi watakupa mkate wa kila siku?
   
 11. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #11
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  siasa = uchumi
   
 12. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #12
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Naona Pepo anayekuongoza hatimaye kujizuia kumemshinda hatimaye amaitaja CDM. Alafu usifikirie kila mtu nimwanamke kwa vile uko period.
   
 13. m

  mamajack JF-Expert Member

  #13
  Jun 15, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  jamani ni jambo ambalo lipo na litakuwapo bila kupingwa.wanasiasa wanaweza wakawafanya wananchi wakawa na maendeleo au wasiwe na maendeleo.kwa macho ya kawaida espacially hapa tnazania nchini kwangu,wanasiasa ni watu wabaya maana sifa za wizi, dhuluma, uonevu,unyanyasaji,wauaji ni wanasiasa wetu wanaodai wameleta maendeleo.ila wanasiasa ndio viongozi siku zote,nchi bila siasa haipo.the issue is,wanasiasa wetu wapoje???.ukisema maendeleo hayaletwi na wansiasa,mie sikubaliani na wewe,maana wanasisa ndio
  1.watawala
  2.watunga sera na mipamgo ya maendele
  3.wasimamizi wa maendeleo
  nk.sasa wewe usiwadanganye wananchi,cha kusema ni kwamba,tunawapambanua vipi hao wanasiasa??
   
 14. mbogo31

  mbogo31 JF-Expert Member

  #14
  Jun 15, 2012
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 687
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35

  Ndugu,

  Yaani umekaaa ukawazaa ndio umekuja hivyo!! wewe nashindwa hata kukuelewa nikuweke kundi lipi! sijui!

  Dunia nzima inaongozwa na hivyo vyama na hata kusipokuwa na serikali vyama vipo, punguza mahaba uliyonayo kwa ccm, ccm ni janga la taifa la tanzania (hasa tanganyika)

  Katika mambo ambayo ninauhakika hutakaa ufanikiwe ni
  1. kuisafisha ccm kwenye jamii ya leo
  2. Kuichafua Chadema kwenye jamii ya leo
  3. Kujalibu kuwahadaa watu wanao kuzidi, elimu, Akili na uelewa wa mambo kwa ujumla

  Kaa tafakari na ujipange upya.
   
 15. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #15
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,400
  Likes Received: 10,511
  Trophy Points: 280
  Poa bwana kwa kunitukana. Mimi sitaki matusi.
  Lakini pointi yangu ni hii. Sisi vijana tunashabikia sasa wanasiasa na kuacha mambo ya maendeleo na tukiamini kuwa wanasiasa ndio watatuletea maendeleo

  Hii ndio pointi yangu.
   
 16. Mbelwa Germano

  Mbelwa Germano JF-Expert Member

  #16
  Jun 15, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 789
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0

  Siasa ni nini?
  Siasa ni mfumo na mtindo au utaratabu wa maisha ya jamii ya binadamu uliokubaliwa na watu katika jamii au jumuiya hiyo ikiwa ni pamoja na uendeshaji wa utawala, mipangilio ya utawala, umiliki wa nguvu za umma, na muingiliano na mahusiano ya maslahi ya makundi mbalimbali katika jamii [Tafsiri yangu]. Siasa ni elimu, maarifa na ujuzi ambao hutoa msimamo na msingi wa jamii.

  Kila jamii huwajibika kufuata misingi iliyowekwa katika maisha ya kila siku, hivyo matokeo na maamuzi ya kuchagua, kulinda, kuhifadhi mfumo mbovu au mzuri wa utawala ni matokeo ya jamii husika. Vilevile kuna siasa ya serikali ambayo ni mipango na kanuni za utekelezaji wa shughuli za kiserikali kwa chama kinachotawala kwa kufuata katiba ya nchi ambayo ndio mtoa sheria mkuu.

  Ni ufinyu wa kifikra kutenganisha maendeleo, siasa na vyama vya siasa. Siasa ni sawa na maji ya kunywa au kupikia n.k. haiepukiki. Ni ushabiki tu wa kisiasa usiozingatia umantiki wa HOJA na UFANISI wa kiutendaji ndio umetuletea aina ya viongozi ambao sasa ni mzigo kwa Taifa letu na kukosa jinsi ya kufanya isipokuwa kupokea matokeo ya ushabiki wetu kwa hoja za kutenganisha maendeleo, siasa na vyama vya siasa.
   
 17. m

  mamajack JF-Expert Member

  #17
  Jun 15, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  wewe utakuwa na matatizo,sio kupewa mkate wa kila siku,sera na mipango yao ndiyo itanisaidia maisha yangu yawe at least na haueni,sasa wewe unejishaua eti umeachana na ushabi tafuta sehemu yako.sijui utaenda wapi huko,maana hata wanyama wanautaratibu wao.pia jua kwamaba uwe shabiki,usiwe shabiki,kama ni maumivu yaliyosababishwa na mafisadi wote tunayapata,sasa wewe hangaika na kutokuwa shabiki kwako ila mchelwe bei ileile,p.e.y nayo inapanda kwa shabiki na asiyeshabiki.
   
 18. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #18
  Jun 15, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Hauna akili wewe, na hakuna point yoyote uliyoweka hapa, wewe inaonekana unatoka kwenye Familia ya kifukara sana kuanzia babu zako mpaka wewe mwenye na familia zote ambazo ndugu zako wameolewa au kuoa. tukifanya mabadiriko ya katiba wewe unastahili kupewa the lowest class ya uraia, inashangaza sana kwamba na wewe una haki ya kuandika kwenye public kama hii.

  wewe daraja lako ni la utumwa. na slave master wako ni Nape.
   
 19. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #19
  Jun 15, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Mkuu maneno yako ni ya ujenzi sana...Pro-Chadema JF wengi wao wanadhani Chadema wakichukuwa nchi kila mtu atakuwa tajiri.
   
 20. ndinga

  ndinga Member

  #20
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mbona hujataja Ccm Kwani sio chama cha siasa? acha chuki kama huipendi CDM kaa kimya umeleta mada vizuri halafu unaiharibu kwa kuanza ushabiki. Hivi jamani Chadema imewafanya nini?
   
Loading...