utafiti
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 12,783
- 7,675
baba mimi sijaelewa unaendaga wapi huko? na mimi nataka niende nikaone alafu nirudi sitasema....
Hapana mwanangu usiende na bora usikujue......kaa hapa hapa na mimi sawa baby?
baba mimi sijaelewa unaendaga wapi huko? na mimi nataka niende nikaone alafu nirudi sitasema....
Me naishiaga hapa karibu tu
unamwona baba yangu alivyo lovely amesema aendi tena
Me naishiaga hapa karibu tu
Hapana mwanangu usiende na bora usikujue......kaa hapa hapa na mimi sawa baby?
Acha uogo Wewe! Huyu nae ulikua unamwambia nini juzi?
Au nimtaje jina hapa?
Kumbe mkuu utafiti unajua kule ni mbali eeehh hebu jaribu twende siku moja kwa bajaji hutatembea tena maana inaonekana wewe ni mvivu sana kutembea
Utapofuka ukienda kule miss chagga wala usitake kujua ni wapi ila usiende kabisa
https://www.jamiiforums.com/member.php?u=157706baba mzuri utafiti ni nini tena hiki? baba leo unipe hela
Kumbe mkuu utafiti unajua kule ni mbali eeehh hebu jaribu twende siku moja kwa bajaji hutatembea tena maana inaonekana wewe ni mvivu sana kutembea
Utapofuka ukienda kule miss chagga wala usitake kujua ni wapi ila usiende kabisa
Mwanangu leo tunatoka dinner mama yako
Hee Ntuzu umetokea wapi?
baba utanipa na hela?
Unajua nakupenda mwanangu, nitakunyimaje hela? Ila usitupe hela mwanangu, sawa?
baba huyu ni nani?
naomba niambie na miminiende sitamwambia baba