miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,802
- 49,109
Ndomana nataka udeke kwangu ivo ivo mwanangu me ndo napenda
sawa baba nitakudekea baba mpaka ukome
Ndomana nataka udeke kwangu ivo ivo mwanangu me ndo napenda
sawa baba nitakudekea baba mpaka ukome
Inapendeza sana mwanangu
Hamna miss chagga nimuelewa sana anajua macho hayana pazia
Hamna miss chagga nimuelewa sana anajua macho hayana pazia
mimi namwelewa baba yangu sana... ila najua tu kushawishika kidogo kupo ila mimi sinina[ita nikiona tu anaweza shawishika namkumbusha kuhusu hny wake wala aendelei tena... Mr Rocky usiwe na wasi wasi mimi ni mlizi wa bba yangu... na nina mpenda sana
Mr Rocky umemuelewa binti yangu hapo? Huyu ndo mtoto wngu pekee ninaempenda snaIla mkuu ni aibu binti anamkuta baba anatoa macho kwa vibinti aise
mimi namwelewa baba yangu sana... ila najua tu kushawishika kidogo kupo ila mimi sinina[ita nikiona tu anaweza shawishika namkumbusha kuhusu hny wake wala aendelei tena... Mr Rocky usiwe na wasi wasi mimi ni mlizi wa bba yangu... na nina mpenda sana
May be ni utafiti mwingine nisiyemjua miss chagga hebu fanya karesechi kidogo maana utafiti huwa tunakutana chemba mbaya sana
baba mzuri utafiti usiende nae tena huko kama ni kweli.... alafu usinichonganishe na mama yangu nmapenda sana na wala simsemelei kwa mama hata kidogo umesikia Mr RockyMay be ni utafiti mwingine nisiyemjua miss chagga hebu fanya karesechi kidogo maana utafiti huwa tunakutana chemba mbaya sana
Duuuh mimi au? Kwanza mimi ninapoenda lazma niende na baby wangu
Mwambiie kabisa miss chagga asiende tena ile mitaa maanaitamuharibia sana na mkuu utafiti utulie na honey wako bana ile mitaa usiende tena
Mwambiie kabisa miss chagga asiende tena ile mitaa maanaitamuharibia sana na mkuu utafiti utulie na honey wako bana ile mitaa usiende tena
na wewe usiende sasa ,,,... mwache baba yanguutafiti ataki michepuko
Me siende kokote kwanza sina access huko kwengine
miss chagga hataenda tena ameshasema utafiti umejuaje kuwa unahitaji access ya kuingia kule kama hujachungulia kilichomo
Me naishiaga hapa karibu tu
miss chagga hataenda tena ameshasema utafiti umejuaje kuwa unahitaji access ya kuingia kule kama hujachungulia kilichomo