mwanakidagu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 208
- 78
maelfu wamemiminika DUCE. kusaka ajira.mimi mwanakidagu nikiwepo.
Nikakumbuka andishishi la mwandishi wa gazeti aliyeandika kupitia Mwanahalisi.'mwalimu alienda africa ya kusini kumshawishi Mandela nchi yake iachane na mpango wa kuinunua benki ya NBC.
Wakiwa uanjani,wanangoja muda ufike warudi nyumbani kwa kindege kidogo cha Air Tanzania.kikiwa kimeeunikwa kwa ukubwa na mindege ya kimagharibi..mwalimu alisikika akisema!'WAKUBWA KULE NYUMBANI WAMEUA MASHIRIKA YA UMMA!NA VIWANDA.hata haka kadogo yaanI ATC.wanataka kuiua.twendeni turudi.baada ya juhudi kushindikana.aliyemnadi kuwa mkubwa alikuwa kana kwamba anapepo.aliuza kila kitu.
Haya.bila viwanda,ajira itatoka wapi?.viwanda 400.vimeuliwa na sisiemu ya kina .*****
kauli za wanafiki.*ajira ni bomu linalotarajiwa kulipuka!*
fufueni viwanda vyetu tupate ajira.