mageuzi1992
JF-Expert Member
- Apr 9, 2010
- 2,502
- 257
Kuna watu humu wametumwa na Magamba waisifie serikali na kuficha maovu yake! Nani anakataa kuwa serikali haipasi kutoa ajira kwa vijana. Mathalani kuendeleza viwanda , kutoa fursa ya ujasiriamali, kupunguza kodi kwa wenye mitaji midogo,kuwawezesha wajasiriamali, kuacha ubinafsishaji holela,kuwa na wawekezaji wanaoeleweka n.k
