Maelezo yanahitajika hapa.

Maelezo yanahitajika hapa.

Salamander

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
28,545
Reaction score
15,781
601f0538ef7519ef53303d5a4962d104
 
kwamba kazaa mtu mweusi ama anazaa mbele ya kemera au anazaa akiwa na RABA
 
utafiti salama mkuu
Hapo mama lazima aeleze hiyo kitu ametoa wapi
 
Last edited by a moderator:
Mkuu sijui ataanzaje kunielewesha
\
Si unajua babu wa babu yake na yule shangazi wa mtaa wa tatu ambaye ni mume wa mdogo wake na bibi alikuwa mweusi
Nadhani hapo utaelewa kwa nini imetokea hivyo
Ukiunganisha huo uhusiano ambao hata kuuelewa huuelewi utapata jibu
 
Hahaha hakuna kitu kama hicho kaka hapo ni kuibiwa mchana
 
Hapo utata.

Tukiachilia hayo mtoto anaonekana sio mpya
 
Back
Top Bottom