Jana iliripotiwa kuuawa kwa watu wawili kwa risasi morogoro nimeskiliza maelezo ya polisi wanadai walipiga risasi ishirini na mbili juu kutawanya wananch na mbili **ZILIWAGONGA* raia wakafariki sasa nachojiuliza risasi zikipigwa juu ziwagongaje watu wa chini na wakaeleza pia majeruhi mmoja yuko hosptl kwa matibabu lkn uongozi wa hsptl umekana kupokea majeruhi yoyote wa tukio hilo kwahili sjaelekidogo maelezo ya polise
Sijakuelewa mkuu hebu rudia tenaNyie ndio huwa mnapoteza watu.
Upuuzi kama wa juzi mbeya polisi wanawaangalia ndio mnaoutaka.wakitumia upolisi wao vyema inakuwa shida.
Unaanzaje mazoea na mtu kabena siraha, au za polisi hazipigi.nyie jadilini tu kauli tata za hao jamaa muone kama ipo siku mtawaelewa.
Point yako hapa ni nini? Wanafanya vizuri kuua watu?
Na jumamosi pia ni siku ya kwenda kusaliMijitu kama hii ijumaa au jpili inaenda kuswali /kusali afu linaongea uongo hata mtoto mdogo haamin MWENYEZI MUNGU atawahukumu kwa maovu mnayotenda
Unamaana unakubaliana na walichotenda police kumbuka hao waliouawa ni binadamu nakama unakumbukumbu nzuri hata mkuu wa nnchi alisha lalamika kua POLISI WANATUMIKA VIBAYA sasa sijui unatetea nn hapoNyie ndio huwa mnapoteza watu.
Upuuzi kama wa juzi mbeya polisi wanawaangalia ndio mnaoutaka.wakitumia upolisi wao vyema inakuwa shida.
Unaanzaje mazoea na mtu kabena siraha, au za polisi hazipigi.nyie jadilini tu kauli tata za hao jamaa muone kama ipo siku mtawaelewa.
Hao raia wataochoka mtaani Ni raia wa nchi gani unawazungumzia? Kwani Mara ngapi matukio Kama haya yanatokea!?? Na hao raia walishachukua hatua gani? Watanzania walio wengi Ni Kama Mwanamke Malaya Tu! "Unaweza kumpa ahadi tamu tamu mchana Na jioni ukaenda kumgonga bureee"Ni lini polisi walishatoa maelezo yenye kukidhi haja? Ipo siku Raia nao watachoka huku mtaani kutachimbika. Hivi hawa tunaoishi nao huku mtaani watu wakiamua mbwai na iwe mbwai itakuwaje? Naamini risasi za polisi zikipigwa juu wakati wa kurudi ardhini huwa zina uzito wa kilo 500 hivyo mwananchi lazima afe tu! Ila za wanajeshi zenyewe zikishafyatuliwa wakati wa kurudi ardhini zinakuwa hazina uzito!