Maelezo ya polisi Morogoro sijayaelewa

K M S

JF-Expert Member
Dec 18, 2016
525
500
Jana iliripotiwa kuuawa kwa watu wawili kwa risasi morogoro nimeskiliza maelezo ya polisi wanadai walipiga risasi ishirini na mbili juu kutawanya wananch na mbili **ZILIWAGONGA* raia wakafariki sasa nachojiuliza risasi zikipigwa juu ziwagongaje watu wa chini na wakaeleza pia majeruhi mmoja yuko hosptl kwa matibabu lkn uongozi wa hsptl umekana kupokea majeruhi yoyote wa tukio hilo kwahili sjaelekidogo maelezo ya polise
 
Dundo_Boy

JF-Expert Member
Dec 29, 2015
2,466
2,000
Hii taarifa niliisikiza vizuri sana, baadae nikakasirika sana yaani police ni waongo hadi mbele ya kamera......sasa hao watu walikuwa juu mbinguni? Yaani wapige risasi zote juu ili kuwatawanya watu alafu waje waseme watu wawili walipatwa na risasi na kufariki hapohapo na mwingine kujeruhiwa!....dhambi wanazozidi kujilimbikizia hawa police kuna siku Mungu atawalipa hadharani .......hata darasa la saba hawezi kudanganya namna hii daaaah!
 
baraka bb

JF-Expert Member
Mar 20, 2016
1,855

unamsubir Mungu aje kulipiza
 
Mfitinishaji

JF-Expert Member
Oct 12, 2015
571
1,000
Umeongea kwa ruhusa ya nani?
Kwani unataka nini mkuu
Acha kujiumiza bure
napitia hapo si mda
 
K M S

JF-Expert Member
Dec 18, 2016
525
500
Hii taarifa niliisikiza vizuri sana, baadae nikakasirika sana yaani police ni waongo hadi mbele ya kamera......sasa hao watu walikuwa juu mbinguni? Yaani wapige risasi zote juu ili kuwatawanya watu alafu waje waseme watu wawili walipatwa na risasi na kufariki hapohapo na mwingine kujeruhiwa!....dhambi wanazozidi kujilimbikizia hawa police kuna siku Mungu atawalipa hadharani .......hata darasa la saba hawezi kudanganya namna hii daaaah!
Niaibu kubwa inaudhi na nizaidi ya kukasirika
 
Ulimbo

JF-Expert Member
Aug 14, 2009
3,420
2,000
Jana iliripotiwa kuuawa kwa watu wawili kwa risasi morogoro nimeskiliza maelezo ya polisi wanadai walipiga risasi ishirini na mbili juu kutawanya wananch na mbili **ZILIWAGONGA* raia wakafariki sasa nachojiuliza risasi zikipigwa juu ziwagongaje watu wa chini na wakaeleza pia majeruhi mmoja yuko hosptl kwa matibabu lkn uongozi wa hsptl umekana kupokea majeruhi yoyote wa tukio hilo kwahili sjaelekidogo maelezo ya polise
Yawezekana kilichowagonga siyo risasi, bali ni kitu chenye ncha kali
 
ozil 10

Member
Oct 2, 2016
85
125
Mijitu kama hii ijumaa au jpili inaenda kuswali /kusali afu linaongea uongo hata mtoto mdogo haamin MWENYEZI MUNGU atawahukumu kwa maovu mnayotenda
 
Manjagata

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
6,159
2,000
Ni lini polisi walishatoa maelezo yenye kukidhi haja? Ipo siku Raia nao watachoka huku mtaani kutachimbika. Hivi hawa tunaoishi nao huku mtaani watu wakiamua mbwai na iwe mbwai itakuwaje? Naamini risasi za polisi zikipigwa juu wakati wa kurudi ardhini huwa zina uzito wa kilo 500 hivyo mwananchi lazima afe tu! Ila za wanajeshi zenyewe zikishafyatuliwa wakati wa kurudi ardhini zinakuwa hazina uzito!
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
17,705

Nyie ndio huwa mnapoteza watu.

Upuuzi kama wa juzi mbeya polisi wanawaangalia ndio mnaoutaka.wakitumia upolisi wao vyema inakuwa shida.

Unaanzaje mazoea na mtu kabena siraha, au za polisi hazipigi.nyie jadilini tu kauli tata za hao jamaa muone kama ipo siku mtawaelewa.
 
Point yako hapa ni nini? Wanafanya vizuri kuua watu?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom