Maelezo ya mkutano wa Al-Adawi na Ridhwan Kikwete

Kuna thread zinazoawekwa ili wengi wachangie na pengine wana uelewa zaidi wa kukweza kuibua mengi lakini unaona zinafyekwa kabisa. TUKiO LA MMILIKI WA DOWANS KUKATAA KUPIGWA PICHA NI PENGINE KUTOTAKA SIRI FULANI KUFICHUKA. Wachunguzi wa mambo wamegundua kuwa ni mzanzibar mkimbizi. Lakini baada ya kuanzishwa thread hiyo imetolewa na kufichwa mahala tulani sijui mantiki yake.
 
Jamani nataka kufahamu utatu uliopo kati ya viongozi waliyopo madarakani,uzao wao wa kwanza esp wa kiume na maamuzi makubwa ya nchi ikiwa ni pamoja na kutengenezewa njia ya utawala baada ya wazazi wao kujitosheleza...turejee ya Tunisia,Misri,Libya na hizi harakati za usemaji wa mambo ya nchi za kina Ridhwan,ambitions za Kina Husein Mwinyi na familia ya Karume kuingia ikulu kwa influence za wazazi wao! Naomba mwongozo!
 
kazi ipo bongo safari bado ni ndefu na humu JF watu wanabishania vitu vya kipuuzi wewe umepewa taarifa tu tafakari mwenyewe ukweli utajulikana tu.Mtoto wa raisi anakutana na mtu mwenye utata Tanzania hii na wengine wanaona wala haina neno jamani.
 
Hivi wewe una ufikiri wa uhalisia? Hiyo ndio dream ya kila mtoto duniani, kuwa na kazi ya baba'ke. Hata Merekani tunawaona kina Bush kina Kennedy Kina clinton, India kina Ghandi. Na hizo ni demokrasi za kusifika kama ilivyo Tanzania. Jee, kuna ubaya gani mtoto wa kinyozi akiwa kinyozi?
Utanisaidia kama nitakuwa sijaelewa vizuri hoja ya Matungusha. Nadhani anachozungumzia sio watoto wa viongozi kutamani nyadhifa za wazazi wao, ila kujifanya nao wao wana mamlaka ya wazazi wao hata kabla ya kuwekewa wakfu. Rz1 ana haki zote kutamani kwa rais wa nchi kama babake na wala hakuna dhambi kama atakuwa.
 
Let's assume hayo aliyoandika Tanleaks ni kweli, ingawa yana walakin, kwani ni dhambi au sheria hazimruhusu Rz1 kukutana na Adawi na wakazungumza ya ama biashara ya ama kusoshalaiz?

Hivi huyu Adawi na hii Kampuni ya Dowans imekosa nini? Kuna mtu anaweza kusema kosa lao ni nini?

Au hizo ni chuki na roho mbaya tu? Rizwan akikutana na tajiri yeyote duniani, hakuna kosa analolifanya. Yeye ana life yake, ana biashara zake na Mungu kamjaalia ana jina na nasaba nzuri tu, ya kuwa mtoto wa Rais.

Hivi. Nyinyi hamna watoto zenu wanaojidai kwa kuwa na baba au mama kama nyinyi? Kama ni wahandisi, madaktari, waandishi, vinyozi, madereva, hamuoni sifa watoto zenu wakisema "mimi babangu kinyozi". Sasa kwa nini Rz1 asitumie hayo na kusema "mimi babangu Rais wa JMT"? Kuna kosa hapo?

Wacheni roho za korosho.

Ndio mchango wako huo msomiiiiii? watanzania tunalkaziiii kweli
 
Kama hii ni kweli kazi ipo_Obviously huyu kijana anajua dingi wake anayo fanya,kwa hiyo anafuata nyayo.Mmm...,tumekwisha.
 
Heeeee!!! Kama hizi Khabari ni za kweli basi nchi imekwisha

Iishe mara ngapi mkubwa..... Inchi ilishakwisha toka Mkwere alipotia mguu ikulu!!!... Kinachotakiwa ni kuijenga upya..... kwanza kwa kumfurusha Mkwere!!! Then mengine yatafuata.
 
Kama habari hizo za kweli..unganisha tu kwenye madudu yote Ridhiwani anayoyafanya kwa Watanzania..huku tukibaki tu kumung'unya maneno:tangu influence yake kuwa kubwa UVCCM, umafia anaovunga kuufanya kwenye jumuiya hiyo..kujihusisha na biashara chafu nyingi..kuingilia siasa za vijana wa vyuo vikuu (miaka mingi sasa amefanya hili-akitumia fedha kibao), kupiga kampeni za baba yake na kuwa msemaji wa 'chama' wakati mwingine, kuabudiwa na kupewa eskort'..na bado atayafanya makubwa.;..Am just dreaming!
 
Ndiyo hivyo, nchi hii imekuwa ya familia. Tutafanyiwa biashara sana hadi tuamue wenyewe kusema basi. Sijui itaishia wapi, lakini lazima watanzania ifike wakati tuseme basi.
 
hapo kunaweza kukawa na ukweli,
kwani hamkusikia kuwa aliondoka na kwenda Dubai kama wiki 2 zilizopita akiwa na escort ya polisi?
je alikuwa anakwedna kufanya nini? kama sio kumleta huyo msela ili wamalizane?
 
wewe waache tu ila wajiandae na pa kwenda maana sisi hatutakuwa na msamaha nao hata kidogo
:decision::decision:Huuu ni upuuz !!! it seems that this is ongoing african culture ukienda Libya mtoto wa gadaf an say kwenye govt,same apply to Zanziba(aman karume jr),Now riziwan anaongea na huyu fisad au yeye ndo msemaji wa tanesco sku hz? hiz ni tabia za kifalme inabd zikomeshwe
How can the son of president ruin our country lyk this??? Ole wao wanotumia vyeo vya wazaz wao kujinufaisha wenyewe 2tawafyeka wote na kuwaangamiza siku unakuja
This country is fo tanzanians and not for Kikwete's CLAN!!! dammit.:decision::decision::decision:
 
Whither the call for politicians to distance themselves from involvement in dubious deals or running personal businesses while holding public seats?

Retrieve and update Azimio la Arusha. :usa2:
 
Duh! umesema vizuri ila umechoka kidogo kuendelea kufikiria. Wanajamvi wanachopinga hapa ni masuala ya nchi yenye kuhitaji maamuzi ya kimamlaka kufanywa na familia badala ya mamlaka husika. Ebu tupe mfano mmoja wa mtoto wa Rais wa Marekani aliyefanya kazi za Urais ? Umeanza na fikra nzuri sana ebu ziendeleze basi!!!

Sina mfano wa kukupa. Naomba nawe nipe mfano wa Rz1 kufanya kazi ya babake.
 
Kama habari hizo za kweli..unganisha tu kwenye madudu yote Ridhiwani anayoyafanya kwa Watanzania..huku tukibaki tu kumung'unya maneno:tangu influence yake kuwa kubwa UVCCM, umafia anaovunga kuufanya kwenye jumuiya hiyo..kujihusisha na biashara chafu nyingi..kuingilia siasa za vijana wa vyuo vikuu (miaka mingi sasa amefanya hili-akitumia fedha kibao), kupiga kampeni za baba yake na kuwa msemaji wa 'chama' wakati mwingine, kuabudiwa na kupewa eskort'..na bado atayafanya makubwa.;..Am just dreaming!

Rz1 kuwa mwanachama wa CCM sio kosa.

Rz1 kumpigia kampeni babake sio kosa.

Rz1 kupewa escort ya polisi au bodyguards, sio kosa. Ana privileges za kuwa mtoto wa Rais, moja wapo ni kupewa ulinzi wa masaa 24 au kila atapo uhitaji. Na hii si Tanzania tu.
 
Nasita kuiamini habari hii.
Ridwani hana sababu ya kumfuata hoteli,mawasilano ya simu na kuwatumia watu wa usalama yangewezesha wao kukutana bila kuvuta hisia za pembeni.
Nina wasiwasi na aliyeanzisha thread hii.
We need to be extra careful!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Didn't 8en had grownup sons? K*¥*ake wakwere, nasikia wanauza mashamba ili wakawacheze ngoma mabinti zao!
 
Back
Top Bottom