Maelezo ya Bernard K. Membe, Kuhusu Fedha za Deni la Libya

Maelezo ya Bernard K. Membe, Kuhusu Fedha za Deni la Libya

Unajua kuwa nyumba za serikali sharti lake lilikuwa ni kuwauzia watendaji wa serikali lakini watu wa kawaida walipewa nyumba zile?yani hadi michepuko!!!kwanini fisadi kama huyu asichomwe moto kama vibaka wengine?
Kafukue uzi wake tuje tuujadili lakini hapa mjadala unahusu kitu kingine, hiyo double standard unayohisi hata wewe unaifanya kwa kila mjadala wa ufisadi kuibuka na hoja hii na kuacha hoja iliyo mbele. Kila mjadala ujitegemee, changia mada iliyo mezani ...
 
lukaminde

Uongo mtupu! Kama kulikuwa na huo unaodai mkataba hebu uweke hapa jamvini. Kiitwacho mkataba na Bw Membe ni kama draft ambayo serikali ya Libya ilikuwa haijasaini, ni suala lilikuwa bado linajadiliwa. Hapakuwa na mkataba hata siku moja. Hii ilikuwa daylight robbery. Ni aibu kwa mtafuta Urais wa nchi. Usafi wako upo wapi hapa?
Naona maelezo kwamba kiwanda cha saruji ifikapo Dec 2015 kitakuwa tayari. Sasa swali langu ni kwamba kama pesa walipata toka wakati huo na mwaka huu ni 2019, Je kiwanda kipo au hakipo maana sijaona Cement hiyo sokoni.
Haijalishi kama Libya wali sign au hawaku sign mkataba lakini je kiwanda kipo?
 
Membe ananuka rushwa,mwaka jana alisema pesa zimehifadhiwa TIB hazijatumika,leo anasema ujenzi upo na utakamilika 2015.Aweke hata picha za ujenzi huo
Mku hii ni sooooo. Kama kiwanda kipo hapo sawa.
 
Ni majibu mujarabu ya upande mmoja. Sasa tunasubiri ya upande wa pili?

Hata hivyo mkataba ni makubaliano ya hiari yanayosimamiwa kisheria baina ya pande mbili. Makubaliano yanakuwa halali na enforceable baada tu ya kutiwa saini na hizo pande mbili husika. Sasa hili la kusainiwa upande mmoja linahalalishaje mkataba? Au ni aina mpya ya mikataba?????
Nadhani shida sio mkataba shida ni kwamba kiwanda kipo au hakipo?
 
Naona maelezo kwamba kiwanda cha saruji ifikapo Dec 2015 kitakuwa tayari. Sasa swali langu ni kwamba kama pesa walipata toka wakati huo na mwaka huu ni 2019, Je kiwanda kipo au hakipo maana sijaona Cement hiyo sokoni.
Haijalishi kama Libya wali sign au hawaku sign mkataba lakini je kiwanda kipo?
Kingekuwapo huu mjadala ungeisha na mhusika angeonyesha mapicha kibao?
 
Tuweke siasa pembeni: Membe alijihusishaje na kudai pesa hizo kama hakuwa na maslahi. Hakumbuki UN ilitoa katazo dunia nzima fedha/mali za Libya zisichukuliwe wakati huo, kwa kuwa hawakuwa na serikali. Hilo vipi? Kama anakiri Libya haikusaini mkataba huo pesa hiyo ilitokaje? Je, Mwanasheria Mkuu wa serikali hakumuonya juu ya suala hilo?

Lakini badala yake Membe alimwandikia barua ya kurasa nyingi ya kejeli haswa, na kwa kutumia mahakama pesa hiyo ilitoka. Nusra Mkurugenzi wa NMB akamatwe kwa amri ya mahakama kwamba amedharau amri "halali" ya mahakama. Amri gani? Kutoa fedha kwa kampuni ya MEIS na Membe. Huu ulikuwa wizi kama wizi mwingine wowote. Maelezo haya ya Membe yanathibitisha mtu huyu ana matatizo. Haraka ilitoka wapi hadi watu kupigana vikumbo mahakamani. Ni vyema anyamaze. Aibu!!!
 
mkuu kiwanda alichokipigania kipo ndo nataka kujua tu maana nimesikia neno kiwanda kama slaa
 
Huyu kawachokoza wenye ugali wao sasa wanamshika makende CCM pagumu sana
 
Hili nikaburi msilifukue limezika watu wengi ningeomba serikali inazidi kufukua ila angalieni mtakuta ndugu zenu katika hili kaburi tuachane nalo tusonge mbele maana utakuta mnaanza mengine haya!!Yangu macho.
 
Back
Top Bottom