MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,512
acheni uchakachuaji😃😃😃mnachakachua mpaka picha👷👷👷Original......achana na vitu fake.....View attachment 1132055
KITU OG! HIKI HAPA👇
acheni uchakachuaji😃😃😃mnachakachua mpaka picha👷👷👷Original......achana na vitu fake.....View attachment 1132055
Mkuu ebu soma majibu ya BM yalitolewa lini kabla kuanza tuhuma.Membe hili unalo, hata ukukuruke vipi hili unalo baba.
Kwanza Siku zote ulikuwa wapi usitoe maelezo haya??? Unalo hili baba.
Au Kwasababu umetia nia ndio unataka kujisafisha?? Unalo hili baba.
Au Kwasababu kwa sasa Libya ni kama hakuna serikali ivyo maelezo mahsusi ya hii issue ni ngumu kupatikana.??
Vp kuhusu bahari beach hotel/ledger plaza??
Vp kuhusu yule ofisa wa ubalozi wa Libya hapa Tz aliyekufa kifo cha ajabu ajabu??
Original......achana na vitu fake.....View attachment 1132055
Membe hili unalo, hata ukukuruke vipi hili unalo baba.
Kwanza Siku zote ulikuwa wapi usitoe maelezo haya??? Unalo hili baba.
Au Kwasababu umetia nia ndio unataka kujisafisha?? Unalo hili baba.
Au Kwasababu kwa sasa Libya ni kama hakuna serikali ivyo maelezo mahsusi ya hii issue ni ngumu kupatikana.??
Vp kuhusu bahari beach hotel/ledger plaza??
Vp kuhusu yule ofisa wa ubalozi wa Libya hapa Tz aliyekufa kifo cha ajabu ajabu??
Ndo matokeo ya kurushia mawe mzinga wa nyuki wakati unaona kuna jua kali na nyuki wote wako macho.Uchaguzi wa 2020 ulikuwa haujakaribia,
Wenye madaraka hivi sasa hawakuwa na hofu nae!!