Maelezo ya Bernard K. Membe, Kuhusu Fedha za Deni la Libya

Maelezo ya Bernard K. Membe, Kuhusu Fedha za Deni la Libya

Ndo maana jiwe kwenye ziara ya lindi alikuwa anaongea kimafumbo et kuna waziri mmoja alikopa mahela nje ya kujenga kiwanda lkn hamna akaagiza achukuliwe hatua nahis ni Membe daah aisee jamaa ana kisasi sn
Hilo deni unalipia wewe, wanaotesea ni membe na watoto wake uingereza huko.
 
Duuh hili kaburi limeishafukuliwa! Wakimalizana na sisi wataanzana wenyewe! 2020 full mtifuano, etii nini? Nyumba!
 
Debt, Debt, Debt....Debt swap...

Membe alikuwa akijihami wakati huo 2015, akijua itambidi aelezee hilo swala. Si naye alikuwa ni mtia nia!


Swali ambalo najiuliza ni: kwa nini Libya waliamua kususa, na huku ikiwa ni pesa yao? Yaani hata kwenda mahakamani tu na kutoa ushuhuda ikawa shida? Tatizo lilikuwa nini.
Na Membe akiwa waziri wa wizara ya mahusiano na nchi zingine, akose kweli kuwa na ufahamu kwa nini Libya hawakutaka kusimamia pesa yao? Hili lilipelekea Balozi wa Libya kujitoa roho. Kwa hiyo ni wazi palikuwa na tatizo ambalo halitolewi ufafanuzi.

Naye Mo kajipachika humo humo kiajabu, hata baada ya hukumu ya mwanzo kutolewa...kulikoni?

Kama walivyouliza wengine hapa, hiyo 2015, ujenzi ulikuwa umefikia 45%. Leo ni 2019, kiwanda kilishaanza kazi?

Hii ni 2019, tukielekea 2020. Mbinu za kutafutana zishaanza?

Mimi ningependa tu kujua, yale "Mataa ya Trafiki" yalifikaje pale Chato! Hakuna dogo lisilokuwa na ncha!

Sisi yetu macho na masikio!
Sasa si ni bora hata hayo mataa ya chato yameonekana, kiwanda hakionekani na pesa hazionekani. Maajabu ya TZ! Alafu mtu asivyo na aibu anatuona mazuzu anataka kugombea urais 2020. Kokoroch!
 
Sasa km hapaswi kuulizwa hayo maelezo aliyatoa 2015 km nani? Na ili iweje? Kwann hakuacha wahusika wajieleze? Tulia ngoma bado mbichi. Itafahamika tu, yumo au hayumo.
Aliyatoa kama waziri ila sasa sio waziri,muulize waziri wa sasa ndio mwenye capacity ya kutoa maelezo......Siasa za majitaka hazitompeleka popote JIWE.
 
Sijawahi kuona Rais wa Tanzania anaguswa hata akistaafu wanaguswa wa chini
Kutesa kwa zamu Magufuli mwizi Naye zamu yake ikifika ataulizwa alichoficha kwa wanajeshi itabidi kifukuliwe uwanja wa chato kujichotea fedha toka hazina bila idhini ya bunge trillioni 2.4 itabidi aeleze zippo wapi ccm wote wezi tu kilichopo nikuwann'oa nchi ipumue
 
Hii ilikua 2015 wakasema ujenzi uko 45% leo 2019 kiwanda kiko tayari au yalikua maneno ya funika kombe mwanaharamu apite?
Actual ukipita ilipokuwa site ya kiwanda kuna matakataka na mitambo iliyoozea hapo. Hamna chochote kiliendelea. Ni kilometa chache upande wa kulia ukiwa unatoka lindi kuelekea mnazi mmoja/mingoyo. High way ya mtwara/masasi
 
Membe ananuka rushwa,mwaka jana alisema pesa zimehifadhiwa TIB hazijatumika,leo anasema ujenzi upo na utakamilika 2015.Aweke hata picha za ujenzi huo
Makamanda ndio wanamfagilia huyu siku hizi! Yaani wao kila adui wa Rais ni kamanda, anzia mahasimu wa JK enzi hizo hadi wa JPM utajua tuna upinzani wa aina gani!!
 
Back
Top Bottom