misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 17,581
- 14,159
Kweli kabisaKuna Afisa wa ubalozi wa Libya alikufa ktk mazingira 'tata' hili liko vipi wadau?
Kweli kabisaKuna Afisa wa ubalozi wa Libya alikufa ktk mazingira 'tata' hili liko vipi wadau?
Teh tehBenard Camilius Membe amekuwa akijaribu kuzungumzia ufisadi na nia yake ya kupambana na ufisadi kila apatapo nafasi ya kuzungumza. Hata hivyo anapaswa kuelezea tuhuma dhidi yake kuhusu fedha zaidi ya dola za marekani 20 milioni za mkopo uliorekebishwa kutoka Libya. Suala hili limekuwa likisemwa chini chini na hivyo membe mwenyewe kulipotezea lakini ni jambo lenye kuhitaji Maelezo ya kina kabisa.
Msaada huu ulikuwa uwekezwe kwenye kiwanda cha Simenti mkoani lindi ili kuongeza uzalishaji wa simenti nchini na kuongeza ajira kwa Watanzania. Je kiwanda kimejengwa? Je ndugu Membe anahusika vipi na tuhuma hizi kuhusu fedha za Libya? Kwenye nchi zenye misingi thabiti ya uwajibikaji Waziri Membe alipaswa kuwekwa kikaangoni na Bunge kueleza jambo hili. Kwa kuwa anagombea Urais ni muhimu alisemee.
MuulizeNdio alisema kabla 2015 kiwanda kitakuwa tayari!!! Kipo???
Tumeelezwa kuwa ujenzi wa kiwanda ulifikia asilimia 45 na kingeanza kazi mwaka 2015. Ninajiuliza je hivi sasa kuna kiwanda cha saruji Mkoa wa Lindi kinachofanya kazi?.
Upi huo au wakiwanda kimefikia asilimia 45 tokea December 2015 hadi leo June 2019 uzalishaji ujaanza mkuu?Ametoa ufafanuzi mzuri sana.
But let's wait and see.
Anatafutwa kivipi?Membe anatafutwa
MAJI HAWA HAWA WANAHONGWA KILA SIKU MWINGINE ALIPEWA 480ML AKASEMA NI MCHANGO WA HARUSI WA MWANAYE UNATEGEMEA ATENDE HAKI MTU KAMA HUYOTukifikia hatua ya kudharau maamuzi ya mahakama zetu basi utawala sheria utakuwa hatarini.Ndio maana muhimili wa mahakama unatakiwa uwe indepedent Executive isiweke mkono wake kuteuwa Jaji mkuu na majaji pawepo na judicial commission ambayo itakuwa responsible kwa kuteuwa majaji kwa kufuata vigezo sahihi through interview.
lukaminde
Uongo mtupu! Kama kulikuwa na huo unaodai mkataba hebu uweke hapa jamvini. Kiitwacho mkataba na Bw Membe ni kama draft ambayo serikali ya Libya ilikuwa haijasaini, ni suala lilikuwa bado linajadiliwa. Hapakuwa na mkataba hata siku moja. Hii ilikuwa daylight robbery. Ni aibu kwa mtafuta Urais wa nchi. Usafi wako upo wapi hapa?
ccm wote wanafanana,slaa includedKafukue uzi wake tuje tuujadili lakini hapa mjadala unahusu kitu kingine, hiyo double standard unayohisi hata wewe unaifanya kwa kila mjadala wa ufisadi kuibuka na hoja hii na kuacha hoja iliyo mbele. Kila mjadala ujitegemee, changia mada iliyo mezani ...
Kipo tumboni mwa watu.mkuu kiwanda alichokipigania kipo ndo nataka kujua tu maana nimesikia neno kiwanda kama slaa
hizo hela zlikuwa zinanemeesha wakubwa na vidagaa tulikuwa tunaponea humo , tukadai et uchumi ulikuwa mzuriIla utawala wa JK ulikua mzuri sana haitatokea. Upigaji njenje. Kama hukutajirika enzi za JK sahau. Nchi ilisimama kwa muda kufanya maendelea ikajikita kuendeleza watu binafsi.
Tangu mwaka 2015 hadi Leo lindi haina kiwanda.
Jembe langu Nape sijui analifahamu hili ili awasaidie wana Lindi.
Takukuru fanyeni kazi kwa weledi bila kuogopa ama kuongea.
Original......achana na vitu fake.....
Tena huyu ni Nangasu Warema, balozi wa utalii.Original......achana na vitu fake.....View attachment 1132055
rekebisha kwanza huu usanii wenu.Original......achana na vitu fake.....View attachment 1132055