Maelezo Muhimu kuhusu Biasahara ya Pikipiki

Maelezo Muhimu kuhusu Biasahara ya Pikipiki

Jvei

Member
Joined
Jul 13, 2025
Posts
42
Reaction score
64
Habari za wakati huu ndugu, nawasalimu!

Somo la Biashara ya spea linaonekana limekaa vizuri. Kuna mambo matatu tu leo naomba niwajulishe;

1. Elimu inayotolewa mtandaoni ni msaada, ukitaka ziada kama kukutana, kuongea kwa simu au kuchati private kwa undani zaidi kuhusu biashara ya spea za pikipiki ni utagaramia

2. Kwa wale wenye mtaji na wanahitaji kuwekeza kwenye biashara ya spea za pikipiki na bajaji ila hawana muda wa kusimamia, karibuni tuzungumze. Kuna program ya kufanya biashara pamoja (partnership)

3. Kwa wale ambao wapo interested, taarifa tunazotoa mtandaoni na mongozo yake, sio conclusive. Hata hivyo zinalenga kutoa msingi mzuri na si kanuni.
Pia, huwezi kujifunza biashara kwa maneno tu. Baada ya kupata A,b, c.. ukiwa interested basi jipange uanze biashara. Uzoefu mkubwa utakutana nao ukiwa kwenye vitendo

4. Kwa wale ndugu zangu mnaopiga simu, au kunitext whatsapp tafadhali ni muhimu sana muwe straight.
Mwisho , Karibu tuendelee kupeana uzoefu kwenye biashara ya spea za pikipiki na bajaji
 
Back
Top Bottom