Mcheki Chief-Mkwawa atakuelekeza na kukupatia ushauri pia ktk masuala yote yanayohusiana na laptopHabari za Jion WanaJF
Naomba kuuliza mtu yoyote ambae anajua machimbo pale Kariakoo au sehemu nyingine Dar ambapo naweza pata laptop kwa bei nafuu new au refurbished. Msaada tutani wandungu
Leo na wewe toa bana
Unaweza kwenda mwenye Mtaa wa uhuru .Ila tahadhari moja ni kwenda ukiwa unaijui aina ya laptop unayoitafuta.yaani elewa specifications ya laptop unayotaka.hapo utakuwa salama .otherwise unaingizwa chaka bado huku ukiwa na furaha zako.furaha zitaisha baada ya mwezi hiviHabari za Jion WanaJF
Naomba kuuliza mtu yoyote ambae anajua machimbo pale Kariakoo au sehemu nyingine Dar ambapo naweza pata laptop kwa bei nafuu new au refurbished. Msaada tutani wandungu
Budget yako bei gan ? Unaweza kwenda mtaa wa Kongo ukajipatia hp envy 360 rysen 5 bei 1.6-1.8 m HD 256 Ram 8 n.k machine tamu sanaa touch screen smart ,
Kila la kheriView attachment 1645468
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Utapata ilaaa ni hp envy *360 rysen 3 specification nyingine ji sawa na rysen 5 ilaa kwenye 1m tembea na laki mbili in case bei zina pandaKm hii ziwez pata kwa 1 Mil Mkuu