Maduka ya Kinondoni bwana

Mala nyingi watu wanao miliki maduka wanatumia uchawi so kwa kununua kwako chumv kwa Iman za kichaw na kuitaja jina usiku unakua umekiuka mashart so unakua umetegua uvhaw
 
Yaabda tupate ufafanuzi kwenye hoja ua msingi ambapo ni kwann hii kitu inachange jina kutokana na wakati! Ukiita chumvi usiku inamadhara gani?

na hapo ndo swali langu kubwa
 
Mala nyingi watu wanao miliki maduka wanatumia uchawi so kwa kununua kwako chumv kwa Iman za kichaw na kuitaja jina usiku unakua umekiuka mashart so unakua umetegua uvhaw

hapa labda ndo naanza kukuelewa maana alikataa kabisa kuniuzia ila baadae akaja mtoto kunielekeza
 
Yaabda tupate ufafanuzi kwenye hoja ua msingi ambapo ni kwann hii kitu inachange jina kutokana na wakati! Ukiita chumvi usiku inamadhara gani?

Ushirikina tu mkuu, ni imani za kishirikina zinawasumbua watanzania. Zaidi ya 80% ya watanzania wanaamini uchawi na ushirikina, ndip maana kesi za mauaji ya albino,vikongwe hayaishi hata siku moja, tunahitaji karne nyingine kwa watanzania kubadilika.

Nadhani kwa upande wa afrika mashariki na kati na kusini mwa jangwa la sahara Tanzania ndio ina raia wengi wanaoamini uchawi na uganga karne hii ya 21.

Mimi nikajua hio mambo ya chumvi imeisha kumbe bado ipo? Maana miaka ya 90 ndio ilikua maarufu,ukosema chumvi hupewi, ukisema dawa ya mboga unapewa. Ukiomba wembe au sindano usiku hupewi..watanzania hawqjiamini, hawawezi kusimama wenyewe bila uchawi, hawawezi kuanzisha biashara bila uchawi, bila kujali wamesoma au hawajasoma, ni hatari.
 
Binafsi naamini haya ni mambo ya imani za enzi za wazee wetu. Lakini ninaamini hakuna madhara yoyote endapo utatamka Chumvi usiku ukienda kununua kwani mimi nishanunua sana chumvi usiku kwa kutamka hivyo "chumvi".
Hizi ni imani kama zile nyingine, mfano:-
1. Usikae juu ya kinu
2. Mwanaume usile kwenye sufuria - Eti siku ya harusi yako itanyesha mvua
3. Usisimame kizingitini (Mlangoni)
4. Mtoto akivimbiwa eti wanachukua mwiko na kufanya kama vile wanampakua ili kumwondoa katika shida ya kuvimbiwa

Hizi ni imani tu ambazo mimi naziita za ajabu ajabu.
 

Ukitaka ujue Tanzania hakuna uchawi pita Malawi,Zimbabwe na huo ukanda wa kusini mwa jangwa la sahara huko wazungu wameishi na kutawala lakini RAIA wengi huwaambii kitu kwenye wizard.
 
Mila ikivunjwa huua ila Dini ikikiukwa haiuwi!!!!!!!!
 
duh sijawahi kujua wenye ujuzi tupeni ufafanuzi
 
Siku nyingine nenda supermarket hutamuuliza mtu unaweka penye tray na kwenda kulipia
 
Guasa usipende vya supermarket sana vitapunguza nguvu zako kama hujui..wale awajui kutupa vitu wanabadili tar..uswahili.i wakinunua vitu. Vinatoka fasta adimu kulishwa mbishe
 
Pdiddy nakuelewa sana ndugu ila shukran kwa kunikumbusha kupenda vya kwetu uswahilini .Ila dhumuni langu lilikuwa kama hataki kutaja dawa ya mboga basi aende shoprite.
 
Khaa!!! Siku nyingine jaribu kuulizia ''unga'':glasses-nerdy:
 

Hii ya Usikae juu ya kinu,eti unaambiwa ukijambia kinu unaziba kitolea nya
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…