BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,930
Tunaelekea Kaanani, nchi ya asali na maziwa..!!
Tatizo ni uvamizi wa watoto na ufacebook
Wanasema no research no right to speak acha wadau waongee mambo ambayo wanaexpwrience nayoHabari wadau
Ivi hamna mambo mengine ya kudiscuss zaid ya vibamia,remote, mabwawa na mashelli,..Tanzania tunaenda wapi,..
Wanasema no research no right to speak acha wadau waongee mambo ambayo wanaexpwrience nayo
Maumivu yakizidi muone daktari...Habari wadau
Ivi hamna mambo mengine ya kudiscuss zaid ya vibamia,remote, mabwawa na mashelli,..Tanzania tunaenda wapi,..
Maumivu yakizidi muone daktari...
likizo imeanza na mada za likizo ndio hizo
Hapana mkuu Mimi siye,.. Naheshimu sana wanawake mkuu, siwez wasema ivo,..We si ndio jana ulikuwa unashadadia wanawake kuwa na mabwawa au nimekufananisha. [emoji124] [emoji124]