Barua ya mhitimu Mzumbe University imeibua vicheko visivyo na mwisho kwenye idara ya utumishi hapa ofisini.
...........nawaibia kidogo tu!
"....... I has a bachelar in accounts and finance...."
what goes around,comes around,huu ndio utamu wa jfRe: Maduu ya wahitimu vyuo vikuu.
unajua ukitaka kukosoa na wewe uwe smart, sasa angalia title ya post yako, hapo nilipo bold ulimaanisha nini?
anyways its "slip of pen" bana
afterall huyo mtu kasoma accounting and finance, hajasoma english
kumbuka pia hiyo ni third laguage kwake, so nothing wrong
kama Maprof. wenyewe English chali unategemea Mwanafunzi atakuaje?
siyo huyo tu,,,,sasa naanza kuamini product za mzumbe nazo feki,,,kuna mfanyakazi mwenzangu mmoja,asubuhi na mapema unamkuta kavaa sunglasses,anaenda ofisini,hamna hata jua.alafu mchana mida ya lunch namkuta amezivua...Mzumbe vijimambo 2pu
what is your agenda?...sijakuelewa.Aise we jamaa huna kifua una tabia ya umbea pia unajifanya elimu bora sana we itakua chuo ulikua unasoma language mwenzio kasoma accounts ivi unajua kuna wachina wenye elimu kubwa na hawajui kingereza