Madrid wametumia uzoefu....

Madrid wametumia uzoefu....

Atretico kipindi cha pili walicheza hovyo,wangecheza mpira wao uleule,hongera REAL...
 
...dah watoto walibana mbaya ! Kosa lao kupaki kasuzuki mvua iliyoshuka mpaka wamevuna aibu badala ya ushujaa...
 
Hata Kocha wao kasema waliishiwa nguvu
 
...dah watoto walibana mbaya ! Kosa lao kupaki kasuzuki mvua iliyoshuka mpaka wamevuna aibu badala ya ushujaa...

Watoto walichanganyikiwa mbaya...huku Bale huku ronaldo,mara marcelo,halafu di maria ndo hashikiki...mvua ya magoli ikaanza taratiibu
 
Hongera real madr.ingawa cr ronaldo alicheza chini ya kiwango.
 
Ronaldo played below standard, he was more than weak for the final. Waooo to Marcelo, Ramos and Di Maria.
Di Maria is the world's first class player. Wonderful player
 
Ronaldo played below standard, he was more than weak for the final. Waooo to Marcelo, Ramos and Di Maria.
Di Maria is the world's first class player. Wonderful player

Ronaldo katoka majeruhi ,hata hivyo kajitahidi bonge la penalt
 
Kiukwel hata lile goli la Atletico ni la kubahatisha baada ya Casilas kukosea kutokea. But Real Madrid walikuwa best all the tyme. Halaa kwa Di Maria
 
Watoto walichanganyikiwa mbaya...huku Bale huku ronaldo,mara marcelo,halafu di maria ndo hashikiki...mvua ya magoli ikaanza taratiibu

...afu kadiri muda unavyo yoyoma RMD ndo munkari unapanda,madogo walitaka kurusha ngumi wakisaidiwa na kocha wao teh teh, loh kweli ngoma ya kitoto haikeshi...
 
Kiukwel hata lile goli la Atletico ni la kubahatisha baada ya Casilas kukosea kutokea. But Real Madrid walikuwa best all the tyme. Halaa kwa Di Maria

...mkuu jana nimeamini casilas kaisha,makosa yake mengi yameifanya mechi iwe ngumu kuliko ilivyotarajiwa...
 
Kiufupi watu kama ronaldo na bale kipindi cha mwanzo walizuiliwa sana ndio maana hawakuchoka halafu watu kama macelo walikuja kizidi kuwachokesha wachezaji wa atletico ila hata mimi nampa hongera za pekee atletico
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom