loose Nut
JF-Expert Member
- Dec 6, 2025
- 2,357
- 5,407
Endapo Mourinho atamnunua Salah Real Madrid msimu ujao kuna uwezekano ndoto yangu ya Mohamed Salah kupata Ballon D'ior ikatimia.
Halafu msimu wa 27-28 iwe zamu ya dogo Lamine Yamal kuisaidia Barca kutwaa UCL na yeye kupewa Ballon D'ior.
Ikitokea hivyo ntafurahi sana.
Halafu msimu wa 27-28 iwe zamu ya dogo Lamine Yamal kuisaidia Barca kutwaa UCL na yeye kupewa Ballon D'ior.
Ikitokea hivyo ntafurahi sana.