Wakuu natanguliza shukurani,
Natafuta madodoki,yalipo,yanapouzwa au yanapoweza kupandwa na kukua kwa wingi nchini Tanzania.
Natanguliza shukurani,niko njiani kukimbia umasikini.
TMK.
Enzi za Namaingo wakati wanawaambia watu kuwa yanahitajika kwa wingi china watu wauzie mbegu au watoe ela walimiwe....Naam tangazo lina four years old ila wachangiaji watatu!