Madj wote tukutane humu

Madj wote tukutane humu

Themann

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2022
Posts
3,844
Reaction score
16,094
Wakuu habalini za jioni kwa wote mlioko jukwaani hongereni kwa kazi ya kulijenga taifa...nimenzisha uzi huu spesho kwa Madj's wote walio wahi kuwa katika kazi hii na watakao penda na ambao wanaipenda kazi hii ila hawaifahamu kwa undani kidogo..

Tutashea idea pamoja na changamoto mbali mbali zilizopo ndani ya fani hii pia ikibidi tufahamiane na kuongezeana ujuzi binafsi mimi kama mimi ntaelezea kwa ufupi jinsi gani nilivutiwa nakuingia katika fani hii...

Safari yangu ya udj ilianzia kwa kuwa inspired na dj mmoja pale clouds nilitamani sana siku moja nije kuwa kama yeye safari yangu ikaanzia hapo nikabahatika kumpata brother mmoja sitamtaja jina akanitraine ili niive ndani ya mwaka hivi nikawa well trained na controller yangu ya kwanza kujifunzia ilikuwa ni "hercules500" kipindi hicho ila nilipata bahati......

Nakumbuka kazi alipokuwa anafanyia kazi walikuwa wanajiweza sana nilipo iva kwa mafunzo imara ndani ya uo mwaka!! Akawa ananipeleka naanzisha kwenye hiyo club pale sinza then ikifika mida ya party kuanza anashikilia yeye kuendeleza party ili linoge na kiukweli nilipata nafasi kwa Mara ya kwanza kupigia mashine ambayo ni kubwa Madj mtanielewa walikuwa na pioneer2000nexus cdj zile kipindi hicho hata rane ni chache bongo....

Japo ndoto zangu hazikukamilika kuwa kama nilivotaka na niliacha sababu kazi zikawa ngumu sometime ujira mdogo pia kuna kaupande flani ili upate ujira mwingi lazima kidogo uwe na connection pia na jina madj mtanielewa kwenye hili na hivi sasa nafanya for funny nna kazi nyingine ndo nnayoitegemea..!

Karibuni tushee idea wakuu najua thread hii haitompendeza kila mtu humu jukwaani kama unaona haitokufaa tafadhali soma tu nakuiacha

CDJDJM%2B1.jpg57a0dbb2-257f-4d73-a25c-3fe91290ab2cLarge.jpg
download%20(1).jpg
download.jpg
 
View attachment 2284806View attachment 2284807View attachment 2284808
Daa hongera Brother Ila mimi nilikiwa na ndoto kweli.yabkuwa Dj na nilipenda sana kuwa Dj Sema Masomo Ylinibana ila sasa hivi nagongesha ngona na virtual Dj ya kawaida tu for funny

Sent from my R7Plusm using JamiiForums mobile app
 
asante sana kama bado unapenda fani hii ya kuwa dj mzuri na bora watafute hawa jamaa @pro24djs
 
Nasikia watoto wanajingongesha sana kwenu
Hiyo kawaida sana KE huwana wanapagawa sana kweye kazi hii ukiwa na tamaa unapotea katika maisha yangu sijawahi kukutana na dj asie kunywa vinywaji vyenye vilevi mixer kupenda Totozzzz.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom