Madiwani watatu Meru wajiunga CHADEMA

Madiwani watatu Meru wajiunga CHADEMA

safi sana mvua imeanza kunyesha sasa ccm wangoje kusombwa na mafuriko.
 
madiwani wote wa ccm toka halmashauri ya meru mkoani arusha wote wamehamia chadema

mbuyu unapondeka kwakakasi sana ccm kwishenei kwishenei.

Muda huu madiwani hao wamehamia chadema
acheni zenu hata katibu mkuu kinana alisha sema hayo ni makapi hatuna haja nayo..
 
Huyo lotho ni kapi la kufa mtu!
Aligombea uenyekiti wa kijiji akaangua pua.
Amegombea kura za maoni udiwani amepigwa chini na akithubutu kugombea udiwani kupitia chadema atapigwa chini vile vile...wameru sio mchezo kama hawakutaki pumzika.
 
WATANZANIA HATUITAJI
MABADILIKO, KAZI YETU USHABIKI
TU WA WAGOMBEA HVYO BASI:-
Mkulima azid kukomaa
machnga hvo hvo
mbeba cago akazane mpga debe aongeze bidii
anayepata rzki kwa uswahl akomae na
uswahl wake.
WATUMISHI WA SERIKALI NAO
WAHESHM KAZ ZAO KWANI
TUMERUHUSU AKIL NDOGO IONGOZE AKILI KUBWA.
KWA HUU USHABIKI WACHACHE
NDIO WATAKAONUFAIKA TU

Hujasomeka mkuu
 
Hakika sasa hakuna ubishi tena kuwa mnara wa babeli unazidi kuporomoka kwa kasi ya kutisha!

Ni hakika pia kuwa huwezi kuzuia mafuriko kwa viganja vya mikono.

Ni hakika pia kuwa hivi sasa Sisiemu inapumulia 'mashine za oxygen' kuwafanya angalau wasogeze sogeze kidogo siku za uhai wao.

Siku ambayo jopo la madaktari [vyombo vya dola] watakapofanya maamuzi magumu ya kuzima 'mitambo' hiyo ya oxygen, ndiyo siku hiyo hiyo itakuwa mwisho wa uhai wa Sisiemu.

Naunga mkono hoja kwa 100%
 

Attachments

  • 1438969212673.jpg
    1438969212673.jpg
    39.1 KB · Views: 244
  • 1438969276585.jpg
    1438969276585.jpg
    67.8 KB · Views: 234
duu haya magumi kwenye kidonda nimependa sana, chadema kuweni na huruma kiaina, teh teh teh teh
 
Back
Top Bottom