gilaibomba
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 352
- 92
kinana atawaita makapi muda si mrefu...
Kwani Kinana si anayo asili ya kimeru??
kinana atawaita makapi muda si mrefu...
Madiwani wote wa CCM toka Halmashauri ya Meru Mkoani Arusha wote wamehamia CHADEMA
Mbuyu unapondeka kwakakasi sana CCM kwishenei kwishenei.
Muda huu Madiwani hao wamehamia CHADEMA
kinana atawaita makapi muda si mrefu...
Madiwani si walisha maliza muda wao?