Madiwani watano CHADEMA waomba radhi

Madiwani watano CHADEMA waomba radhi

Diwani Nanyaro hakushiriki kwenye muafaka, na tangu mwanzo alishaupinga, sasa aombe radhi kwa kipi??
kwenye hatua za awali Nanyaro alikuwepo, ila kuhusu kuomba radhi nadhani hahusiki, isipokuwa gazeti la Habari leo iliwahi kuandika kuwa madiwani watatu wameomba radhi mojawapo akiwa Nanyaro.
 
Leteni Source kwenye habari zenu, JF, sio sehemu ya porojo
 
Sasa si awafukuze hao waliogoma kuomba msamaha, anaogopa?
 
Sasa si awafukuze hao waliogoma kuomba msamaha, anaogopa?

Furaha yako wewe ff ni chadema isambaratike - Hutafanikiwa. Utakuwa kama fisi anayemfuata mtu akiomba mungu mkono wa mtu unaoning'inia uanguke, kumbe hauanguki.
 
CCM walijiona washaula kumbe wameula wa chuya,kaza buti twende Dr.!
 
Punguza porojo, Source inayokubalika hapa JF, ni ya Invisible

Sasa kama unakubali ya Invisible mbona ni JF?
Yeye mwenyewe Invisible (unseen) kweli mapenzi kitu kibaya
 
mallah simama kidete tupo nyuma yako, sisi ndio tuliokuchagua, hata wakikufukuza utarudi kwa tiketi chama kingine.
mallah, usimsikilize huyu mkigoma sio yeye mwenyewe alie kuchagua vinginevyo utaumia!
 
Quinine, kuna mtu anataka chill source na tomato source, usisahau kumuekea na chips na mayai ya mbuni.

teh teh teh! hata mimi nilimuona, akilizake zinafanana na avatar yake.
 
Back
Top Bottom