Highlander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 3,093
- 1,077
mkuu wakati mwingine me natamani nisiwe mtanzania tena! Yani bila matumaini 2015 ningezamia hata Zambia hawana upuuzi aina hii!
ha ha ha ha...na bahati nzuri ule mpaka wala hata hauna maana. ukitaka kujua we nenda tu pale kwenye soko la Blaki Tunduma kama wanavyopaita wenyewe; sijui hata kama bado panaitwa vile maana nilienda 1989 sijarudi tena. walikuwa wanapanga vijiwe hapo ardhini ndo mpaka eti. kule wanauza mandazi, uku mandazi. mandazi ya kule Kwacha, mandazi ya uku shilingi. A very funny economy. ukinyang'anya mfuko wa sukari upande wa mashariki Tanzania unaruka kijiwe unahamia upande wa pili. tayari upo zambia. hakuna kukamatwa mpaka interpol ije!
Raha ni kwamba Zambia kuna wanyiha 300,000 tanzania wanyiha 300,000. kwa hiyo ukiona umechoka sana we ruka tu kijiwe. utakuta watanzania wenzio kibao kule.