Madiwani wa Chadema watwangana Moshi

MADIWANI wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika Manispaa ya Moshi, Kilimanjaro juzi walitwangana makonde huku kiini kikitajwa kuwa ni gari la Mstahiki Meya. kisa cha kupigana ni ubishi juu ya nani anastahili kupanda gari hilo la Meya ( mwananchi ..25/10/2012.

MATOKEO YA M4C HAYO WANAGOMBANI KUPANDA GARI YA MEYA ...JE MKICHUKUA NCHI SI MTAGOMBANIA WOTE MKAKAE IKULU

Sasa hapo nini cha ajabu yaani umepoteza muda wako wote kuleta U..sh..uzi huu ati watu wajadili si bora Ungeandika kuhusu waziri wenu aliyesema ati Tanzania ilipata Uhuru mwaka 11964 na imeunganishwa na Pemba na Zimbabwe hapo tungekuelewa sana tu.
 
MADIWANI wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika Manispaa ya Moshi, Kilimanjaro juzi walitwangana makonde huku kiini kikitajwa kuwa ni gari la Mstahiki Meya. kisa cha kupigana ni ubishi juu ya nani anastahili kupanda gari hilo la Meya ( mwananchi ..25/10/2012.

MATOKEO YA M4C HAYO WANAGOMBANI KUPANDA GARI YA MEYA ...JE MKICHUKUA NCHI SI MTAGOMBANIA WOTE MKAKAE IKULU

Madiwani wengi wa cdm ni mzigo kwa wananchi kwani walikuwa na matumaini makubwa sana
 
He he heeeeee kumekucha , waache wafu wawazike wafu wenzao. Hapo bado hawajapewa nchi, siku wakipewa nchi watagombea mpaka hazina ya nchi na kugombea rasilimali za nchi. Tuliisha sema cdm iko kwa maslahi binafsi na si ya nchi, kalagabaho !

sidhani kama unaelewa maana ya genius brain labda umekopy na kupaste tu, nimekusamehe!!
 
MADIWANI wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika Manispaa ya Moshi, Kilimanjaro juzi walitwangana makonde huku kiini kikitajwa kuwa ni gari la Mstahiki Meya. kisa cha kupigana ni ubishi juu ya nani anastahili kupanda gari hilo la Meya ( mwananchi ..25/10/2012.

MATOKEO YA M4C HAYO WANAGOMBANI KUPANDA GARI YA MEYA ...JE MKICHUKUA NCHI SI MTAGOMBANIA WOTE MKAKAE IKULU

Hawawezi kuchukua nchi! wataishia walipo tu
 
sasa hapo nini cha ajabu yaani umepoteza muda wako wote kuleta u..sh..uzi huu ati watu wajadili si bora ungeandika kuhusu waziri wenu aliyesema ati tanzania ilipata uhuru mwaka 11964 na imeunganishwa na pemba na zimbabwe hapo tungekuelewa sana tu.

yani cdm itakufa bz wafuasi wake viongozi wake wote hawataki ambiwa ukweli muda wote wanaona wako sahihi.................... Hiki si chama hata kidogo we madiwani wagombanie kupanda gari la meya si ujinga huo.
 
MADIWANI wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika Manispaa ya Moshi, Kilimanjaro juzi walitwangana makonde huku kiini kikitajwa kuwa ni gari la Mstahiki Meya. kisa cha kupigana ni ubishi juu ya nani anastahili kupanda gari hilo la Meya ( mwananchi ..25/10/2012.

MATOKEO YA M4C HAYO WANAGOMBANI KUPANDA GARI YA MEYA ...JE MKICHUKUA NCHI SI MTAGOMBANIA WOTE MKAKAE IKULU

Hehehe chadema bana!! :D:D:D:D
 
Hii nayo umeona ni story???Una lako jambo gamba mkubwa wewe....ptyuuuuuuuu!!!Tupa kuleee.

sasa Story nini au ni WAISLAM....MAKANISA....UWAMSHO...NA NGURUWE....MADIWANI KUGOMBANIA KUPANDA GARI NI MATUSI....THEN NYIE NDIO MNATAKA KUCHUKUA NNCHI...BOLA TUMPE EL...NA CCM...KULIKO KUCHINJA NGOMBE KWA MSUMENO......
 
Hawa jamaa ni Washamba hasa yuko mwingine foleni ya ubwabwa wa bure huko Kahama akaingilia msafara wa kwenda kupakuwa wakashushua ni aibu sana
 
sasa Story nini au ni WAISLAM....MAKANISA....UWAMSHO...NA NGURUWE....MADIWANI KUGOMBANIA KUPANDA GARI NI MATUSI....THEN NYIE NDIO MNATAKA KUCHUKUA NNCHI...BOLA TUMPE EL...NA CCM...KULIKO KUCHINJA NGOMBE KWA MSUMENO......
Huna lolote kazi ya magamba ni kueneza udini tu kila wakati..muulize mwenyekiti wenu amelikoroga na sasa analinywa,nyambafffffff.
 
akipigana mama na baba yako huku huweki.akipigwa dada yako na mumewe huku unakimbia huweki,ukpigana wewe katu huweki'mashoga wakipigana mchana wakigombania mwanaume huweki,sofia simba na banj huweki tena ya waziwazi na usalama upo na kamera acha upuuzi we gamba!
 
MADIWANI wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), katika Manispaa ya Moshi, Kilimanjaro juzi walitwangana makonde huku kiini kikitajwa kuwa ni gari la Mstahiki Meya. kisa cha kupigana ni ubishi juu ya nani anastahili kupanda gari hilo la Meya ( mwananchi ..25/10/2012.

MATOKEO YA M4C HAYO WANAGOMBANI KUPANDA GARI YA MEYA ...JE MKICHUKUA NCHI SI MTAGOMBANIA WOTE MKAKAE IKULU

Punguza hasira za kushindwa Shindwa UVCCM
 
Back
Top Bottom