laana inawaaandama na badochadema yaendelea kuhujumiwa,madiwani wake wake dodoma wanunuliwa kujiunga na ccm.
wakuu hii habari sio tetesi tena ,naiweka hapa jukwaani kama habari kamili.
madiwani wa chadema mkoani dodoma wamedaiwa kunuliwa na ccm ili kuisaliti chadema siku yoyote kuanzia sasa,madiwani hao 3 wanaotajwa kutoka ji,bo la mtera na 1 hajatajwa anatokea jimbo wala kata gani ndani ya mkoa huo, mpango huo unaoendelea kuratibiwa na viongozi wa ccm mkoa dodoma kwakwa ushirikiano wa karibu na viogozi wa act pamoja na aliyekuwa mgombea wa chadema jimbo la mtela mwaka 2010 bwana john lameck robote/lugose,mpango ulioratibiwa kwa mda wa takribani mwezi 1 sasa.
kwa mujibu wa chanzo cha taarifa hii,awali wasaliti hao walikuwa wamepanga wajiuzuru baada ya mfungo wa mwezi mtukufu wa ramadhan,kutokana na mpango huo haramu kugunduliwa na intelegensia ya chadema,wameamua kuuharakisha na sasa hautasubiri mwezi mtukufu uishe na mda wowote kuanzia sasa wataitisha mkutano wa waandishi wa habari,ama watarudisha kadi kwenye mkutano wa hadhara unaoandaliwa na ccm dodoma ,mkutano utakaofanyika mda wowote kuanzia sasa na wamependekeza jk awepo.
kwa mujibu wa chanzo cha taarifa hii kilichopo miongoni mwa waratibu wa mpango huo muovu dhidi ya cdm,kinadokeza vikao vya awali vilifanyikia katika mikoa ya daressalam,morogoro na sasa waratibu wa mpango huo, wapo mkoani dodoma wakiendelea na uratibu huo kikao kilichoandsliwa kufanyikia dodoma hotel,
mpango huu unaratibiwa na samwel malichela (mtoto wa john samwel malichela ambaye anaungwa mkono na viongozi wa ccm jimbo la mtera na dodoma katika jitihada zake za kuhakikisha mbunge wa sasa jimbo la mtera livingstone lusindekibajajianangolewa kwenye kiti cha ubunge uchaguzi ujao) kwa kushirikiana na viongozi wa ccm mkoa dodoma kupitia kwa katibu mwenezi wa mkoa, katibu mkuu wa ccm mkoa wa dodoma bwana mgumba ambaye mpaka sasa ndiye alieidhinisha malipo ya kugharamia nauli ya kuwaleta madiwani wa cdm kutoka jimboni mtera,gharama za ukumbi, malazi jumla ya fedha hiyo ni shili laki 4 na elfu 70(470,000)
na miongoni mwa magari yaliyotumiwa katika safari za kuratibu shughuli zote hizo za kutaka kuihujumu cdm ni gari namba t 645 cug aina ya nadia, nyaraka zinaonesha mmliki wa gari hilo ni bwana kyamani elpidius, ambaye hadi sasa haijulikani anajishughulisha na nini, hata hivyo, mtoa taarifa anaendelea kupasha kuwa ccm hadi sasa wameingizwa mkenge kwani mpango uliopo ni kuwa, madiwani hao watajiunga na ccm kwa muda tu, baadae watarudi kujiunga na chama kipya cha act wakati wa uzinduzi wake mwezi wa 9 mwaka huu.
na mwisho wa siku wameahidiwa kupewa pesa yote ambayo wangelipwa kama madiwani kwa kipindi cha kuanzia siku watakayojiudhuru mpaka mwakani,pia katika sakata hili kuna mtu mmoja anatajwa kwa majina ya gwakisa burton anatajwa kuwa nyuma ya mpango huu.
- :angry:
Wewe utajitambua baada ya Kikwete kuondoka madarakani 2015! Utajiunga chama gani ili umshambulie Nyerere kwa amani?Kwa nini ukimbilie kusema wanunuliwa badala ya kusema kuwa wameshtuka kuwa misukule.
CHADEMA YAENDELEA KUHUJUMIWA,MADIWANI WAKE WAKE DODOMA WANUNULIWA KUJIUNGA NA CCM.
...Na mwisho wa siku wameahidiwa kupewa pesa yote ambayo wangelipwa kama madiwani kwa kipindi cha kuanzia siku watakayojiudhuru mpaka mwakani,pia katika sakata hili kuna mtu mmoja anatajwa kwa majina ya Gwakisa Burton anatajwa kuwa nyuma ya mpango huu.
- :angry:
Wewe utajitambua baada ya Kikwete kuondoka madarakani 2015! Utajiunga chama gani ili umshambulie Nyerere kwa amani?
Gwalihenzi hapa mada sio Kikwete, rejea mada husika mkuu. Punguza chuki Kikwete ndo rais kwa sasa.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwanza jaribu kuheshimu majina ya watu kabla hujaanza kumwaga pumba zako, pili, hata kama wewe ni mke wa Ritz hukustahili kumjibia yeye kwani kijembe hicho yeye binafsi amekipokea kwa raha mstarehe!gealihenzi hapa mada sio Kikwete, rejea mada husika mkuu. Punguza chuki Kikwete ndo rais kwa sasa.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Bora wale bata ukiwa cdm kumbe uko kama almasi kweli vile mbona wccccm hawanunuliwi au cdm njaaa kali sana;;;; kuwa cdm kumbe dili.
Kabla hawajaamua nawashauri watafute namba za wale madiwani wa Shinyanga.
Wakazi wa Dodoma hawajui chama kingine zaidi ya ccm!!! Acheni kusema Dodoma kuna chadema ili kupata sifa!!!
Chadema itatoa wapi madiwani ndani ya himaya ya ccm???
mkuu naomba utengue kauli ya uelewa!
-kinacho sumbua ni dodoma viongozi wangu wa chadema naomba mfike vijijini na mijini kwaajili ya kujenga misingi bora ya chama.
-maeneo kama mvumi,nhinhi,mlowa,makang'wa,mpunguzi,mpwayungu,bahi,chigwe na kwingineko.
Nasisitiza makamanda nendeni mkahamasishe zaidi,dodoma imeamka zaidi ya kawaida wanakosa muhamasishaji tu!,
hii ni kweli maana mimi mwenyewe nimejionea.
mbona lubote alikuwa jembe saana?du ccm imeamua kutumia sabuni ya roho kununulia watu?sijawahi kuona mahali huo mtindo umefanikiwa duniani.
bwana lameck namjua sana, ila siamini kama kafikia kiwango hicho cha usaliti, japo siwezi kushangazwa maana kuna watu niliowaamini zaidi yake ambao wamefanya usaliti wa kutisha!
usijali tutakuja kamanda tupo wa st.johns university na udom kwa hilo nikutoe hofu hapa ni suala la muda tu but si muda mrefu tulikuwa mvumi