Kosa lililofanywa na chadema kumgusa muhimili wa chama Zitto Kabwe ,limekufanya chama kupukutika kama majani makavu juu ya mti.
Kiukweli Zitto amekiathiri chama kwa zaidi ya 70% ,na hii ni kutokana na mtandao aliokuwa nao katika chama nchi nzima,ni bora Zitto angepewa alichokuwa anataka kuliko kosa ambalo limekisambaratisha chama huku wajinga wachache wakijipa moyo kuwa mamluki wanaondoka ili chama kibaki safi.
Huenda hilo lina ukweli lkn ukweli ni kuws katka siasa ,chama kinakua kikubwa kutokana na idadi ya kura,Mwaka 2010 chadema ilipigiwa kura na watu ambao hata hawakuwa wana chadema,lkn kwa mwenendo wa sasa,chama kitakuwa cha nne kwenye uchaguzi mkuu ujao.