Madiwani wa CHADEMA Dodoma kujiunga na CCM

Madiwani wa CHADEMA Dodoma kujiunga na CCM

Ni madiwani wangapi hao waliogharamiwa laki nne na elfu sabini (470,000/=)!!!??? Watanzania tuna matatizo ya kiakili. Tunawezamchagua mtu anaywewza kutelekeza uwakilishi wa wananchi kwa 470,000/=???

Madiwani wa 3 kutoka Mtera na 1 kutoka Dodoma,then hizo fedha ni za usafiri na maradhi tu,pesa kwa ajili ya malipo ya usaliti wangelipwa pamoja na pesa yao ya kiinua mgongo
 
CHADEMA YAENDELEA KUHUJUMIWA,MADIWANI WAKE WAKE DODOMA WANUNULIWA KUJIUNGA NA CCM.

Wakuu hii habari sio tetesi tena ,naiweka hapa jukwaani kama habari kamili.

Madiwani wa CHADEMA mkoani Dodoma ------------ ili kuisaliti CHADEMA siku yoyote kuanzia sasa, mpango unaoendelea kuratibiwa na viongozi wa CCM mkoa Dodoma kwakwa ushirikiano wa karibu na viogozi wa ACT pamoja na aliyekuwa mgombea wa CHADEMA jimbo la Mtela mwaka 2010 bwana John Lameck Robote/Lugose,mpango ulioratibiwa kwa mda wa takribani mwezi 1 sasa.

Kwa mujibu wa chanzo cha taarifa hii,awali wasaliti hao walikuwa wamepanga wajiuzuru baada ya mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan,kutokana na mpango huo haramu kugunduliwa na intelegensia ya CHADEMA,wameamua kuuharakisha na sasa hautasubiri mwezi mtukufu uishe na mda wowote kuanzia sasa wataitisha mkutano wa waandishi wa habari,ama watarudisha kadi kwenye mkutano wa hadhara unaoandaliwa na CCM Dodoma ,mkutano utakaofanyika mda wowote kuanzia sasa na wamependekeza Jk awepo.

Kwa mujibu wa chanzo cha taarifa hii kilichopo miongoni mwa waratibu wa mpango huo muovu dhidi ya CDM,kinadokeza vikao vya awali vilifanyikia katika mikoa ya Daressalam,Morogoro na sasa waratibu wa mpango huo, wapo mkoani Dodoma wakiendelea na uratibu huo kikao kilichoandsliwa kufanyikia Dodoma Hotel,

Mpango huu unaratibiwa na Samwel Malichela (Mtoto wa John Samwel Malichela ambaye anaungwa mkono na viongozi wa CCM jimbo la Mtera na Dodoma katika jitihada zake za kuhakikisha mbunge wa sasa jimbo la Mtera Livingstone Lusinde”kibajaji”anang’olewa kwenye kiti cha ubunge uchaguzi ujao) kwa kushirikiana na viongozi wa CCM mkoa Dodoma kupitia kwa katibu mwenezi wa mkoa, katibu mkuu wa CCM mkoa wa Dodoma bwana Mgumba ambaye mpaka sasa ndiye alieidhinisha malipo ya kugharamia nauli ya kuwaleta madiwani wa CDM kutoka jimboni Mtera,gharama za ukumbi, malazi jumla ya fedha hiyo ni shili Laki 4 na elfu 70(470,000)

Na miongoni mwa magari yaliyotumiwa katika safari za kuratibu shughuli zote hizo za kutaka kuihujumu CDM ni gari namba T 645 CUG aina ya NADIA, Nyaraka zinaonesha mmliki wa Gari hilo ni bwana Kyamani Elpidius, ambaye hadi sasa haijulikani anajishughulisha na nini, Hata hivyo, mtoa taarifa anaendelea kupasha kuwa CCM hadi sasa wameingizwa mkenge kwani mpango uliopo ni kuwa, madiwani hao watajiunga na CCM kwa muda tu, baadae watarudi kujiunga na Chama kipya cha ACT wakati wa uzinduzi wake mwezi wa 9 mwaka huu.
 
nilishasema kwamba ccm waache deal fake, tumikieni watu na watu wataona mnafaa kwa matendo, pesa mnazotumia kununua watu tuleteeni huku hatuna maji, barabara ni mbovu,
pia kuua upinzani ni kuudhoofisha maendeleo!
 
Hii nchi kila siku wajinga wasio jitambua wanaongezeka!
 
Wakazi wa Dodoma hawajui chama kingine zaidi ya ccm!!! Acheni kusema Dodoma kuna chadema ili kupata sifa!!!
Chadema itatoa wapi madiwani ndani ya himaya ya ccm???

Naona unaweweseka sababu ya kimpumu na viroba
 
Ujinga kama huu hawawezi kuufanya mijini kwa watu wenye akili....... Watakimbilia vijijini mahali mtu anaona shilingi laki tano ni Mungu.... Nawaambia maccm hao watu wakijitambua sijui mtaficha wapi sura zenu nyie manyang'au!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Mungi, hata mjini -especially Dar es Salaam- wapo. Kuna watu wananunuliwa kwa sahani ya ubwabwa!
 
Haya, chimbuko la usaliti wenu ni hili:

Maandishi mekundu anathibitisha Kitila kuwa ni kweli, soma hapa chini:

Mkuu tenende, nimecheka sana hayo mambo Mnyika na Slaa si walikanusha? Mbona hamueleweki nyie? Ndo akili kubwa hii?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
kama mpango huu ni wa kweli, naipongeza sana ccm. chama cha siasa kazi yake ni siasa, na hii ndio siasa yenyewe
 
Madiwani wa 3 kutoka Mtera na 1 kutoka Dodoma,then hizo fedha ni za usafiri na maradhi tu,pesa kwa ajili ya malipo ya usaliti wangelipwa pamoja na pesa yao ya kiinua mgongo

kumbe wanaumwa halafu ccm ndio inawasaidia kuwatibu..hongera sana chama cha mapinduzi
 
CHADEMA YAENDELEA KUHUJUMIWA,MADIWANI WAKE WAKE DODOMA WANUNULIWA KUJIUNGA NA CCM.

Wakuu hii habari sio tetesi tena ,naiweka hapa jukwaani kama habari kamili.

Madiwani wa CHADEMA mkoani Dodoma wamedaiwa kunuliwa na CCM ili kuisaliti CHADEMA siku yoyote kuanzia sasa,madiwani hao 3 wanaotajwa kutoka ji,bo la Mtera na 1 hajatajwa anatokea jimbo wala kata gani ndani ya mkoa huo, mpango huo unaoendelea kuratibiwa na viongozi wa CCM mkoa Dodoma kwakwa ushirikiano wa karibu na viogozi wa ACT pamoja na aliyekuwa mgombea wa CHADEMA jimbo la Mtela mwaka 2010 bwana John Lameck Robote/Lugose,mpango ulioratibiwa kwa mda wa takribani mwezi 1 sasa.

Kwa mujibu wa chanzo cha taarifa hii,awali wasaliti hao walikuwa wamepanga wajiuzuru baada ya mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan,kutokana na mpango huo haramu kugunduliwa na intelegensia ya CHADEMA,wameamua kuuharakisha na sasa hautasubiri mwezi mtukufu uishe na mda wowote kuanzia sasa wataitisha mkutano wa waandishi wa habari,ama watarudisha kadi kwenye mkutano wa hadhara unaoandaliwa na CCM Dodoma ,mkutano utakaofanyika mda wowote kuanzia sasa na wamependekeza Jk awepo.

Kwa mujibu wa chanzo cha taarifa hii kilichopo miongoni mwa waratibu wa mpango huo muovu dhidi ya CDM,kinadokeza vikao vya awali vilifanyikia katika mikoa ya Daressalam,Morogoro na sasa waratibu wa mpango huo, wapo mkoani Dodoma wakiendelea na uratibu huo kikao kilichoandsliwa kufanyikia Dodoma Hotel,

Mpango huu unaratibiwa na Samwel Malichela (Mtoto wa John Samwel Malichela ambaye anaungwa mkono na viongozi wa CCM jimbo la Mtera na Dodoma katika jitihada zake za kuhakikisha mbunge wa sasa jimbo la Mtera Livingstone Lusinde"kibajaji"anang'olewa kwenye kiti cha ubunge uchaguzi ujao) kwa kushirikiana na viongozi wa CCM mkoa Dodoma kupitia kwa katibu mwenezi wa mkoa, katibu mkuu wa CCM mkoa wa Dodoma bwana Mgumba ambaye mpaka sasa ndiye alieidhinisha malipo ya kugharamia nauli ya kuwaleta madiwani wa CDM kutoka jimboni Mtera,gharama za ukumbi, malazi jumla ya fedha hiyo ni shili Laki 4 na elfu 70(470,000)

Na miongoni mwa magari yaliyotumiwa katika safari za kuratibu shughuli zote hizo za kutaka kuihujumu CDM ni gari namba T 645 CUG aina ya NADIA, Nyaraka zinaonesha mmliki wa Gari hilo ni bwana Kyamani Elpidius, ambaye hadi sasa haijulikani anajishughulisha na nini, Hata hivyo, mtoa taarifa anaendelea kupasha kuwa CCM hadi sasa wameingizwa mkenge kwani mpango uliopo ni kuwa, madiwani hao watajiunga na CCM kwa muda tu, baadae watarudi kujiunga na Chama kipya cha ACT wakati wa uzinduzi wake mwezi wa 9 mwaka huu.

Na mwisho wa siku wameahidiwa kupewa pesa yote ambayo wangelipwa kama madiwani kwa kipindi cha kuanzia siku watakayojiudhuru mpaka mwakani,pia katika sakata hili kuna mtu mmoja anatajwa kwa majina ya Gwakisa Burton anatajwa kuwa nyuma ya mpango huu.

  • :angry:
mheshmiwa mleta mada, baada ya kupitia porojo yako hii yote, pia kwa kuzingatia maeeo yenye rangi ya bluu, nimegundua yafuatayo.

1.ulikimbia umande.
2.unaishi kwa propaganda zaidi
3.unajifanya mjuaji kumbe huna lolote unalolijua
4.wewe ni kibaraka wa ufipa
5.hujui kusoma wala kuandika kwa ufasaha, mbabaishaji tu wewe
6.unatafuta umaarufu wa kulazimisha.

cc
nikolas kilunga
 
Ndugu mleta mada hicho unacho kizungumzia, nikweli kiko njiani kwasababu nilikutana na John Lameck Robote/Lugose kipindi yupo dar, kiukwelili alinieleza mengi lakini kikubwa ambacho niliweza kukielewa nikuwa amepoteza sifa za uongozi na zaidi amekuwa nimlevi na mzee wa totoz hivyo kwamaelezo yake na kile nilichokiona nibora aende huko, kwakuwa CDM inahitaji watu waadilifu na si kama yeye alivyo.

Mlukutana gest akakuambia yote haya????
 
nilishasema kwamba ccm waache deal fake, tumikieni watu na watu wataona mnafaa kwa matendo, pesa mnazotumia kununua watu tuleteeni huku hatuna maji, barabara ni mbovu,
pia kuua upinzani ni kuudhoofisha maendeleo!

Mkuu ni bora kutokuwa na upinzani kuliko kuwa na upinzani wa vyama aina ya chadema..!!
 
Dodoma wengi wananchi uelewa Mdogo pia na ukame Wa mkoa huo wananchi wameathirika kiakili,ila mkuu usikonde uchafu wote uishe wabaki wasafi msiogope pigeni kazi

Hizi lugha zenu za kuwatukana wananchi wa eneo husika kisa tu lichama lenu limekataliwa sio ustaarabu hata kidogo...! Mbona hata sisi tunajua kuwa nyie bavicha akili zenu fyatu, viongozi wenu ndo hamnazo kabisa.
 
Hawajitambua bali wamechagua tumbo kuliko mabadiliko

Acha unafiki, nani alisema demokrasia ni kuhama kutoka CCM au vyama vingine na kwenda CDM peke yake? Mbona Dr. Slaa alitoka CCM akaenda CDM, mbona Tindu Lissu alitoka NCCR akaenda CDM? Kwa nini kila anayetoka CDM kwa akili yako finyu unaamini kuwa amenunuliwa na siyo demokrasia?

Jitambue, acha kutumika kama toilet paper! Mbona dada yake Mbowe alipohamia CCM hakuna mwanachama yoyote wa CDM aliyefungua kinywa na kusema amenunuliwa???????????????
 
Dodoma wengi wananchi uelewa Mdogo pia na ukame Wa mkoa huo wananchi wameathirika kiakili,ila mkuu usikonde uchafu wote uishe wabaki wasafi msiogope pigeni kazi

Sasa hapa si unaiharibia CDM kwa wanadodoma wote? Au CDM haitaki kura za Dodoma?
 
Back
Top Bottom