Madiwani wa CHADEMA Dodoma kujiunga na CCM

Madiwani wa CHADEMA Dodoma kujiunga na CCM

Jimbo la mtera lina diwani mmoja tu wa cdm ambaye ni wa kata ya Igandu,Dodoma mjini kuna madiwani watatu wacdm kwa kata(Dodoma Makulu,Iyumbu na Ipala) na diwani mmoja viti maalum,hao madiwani watatu wa cdm toka jimbo la mtera ni wa kata zipi mkuu?
 
Nenda kawadanganye Masalia. Hapa breki!.. Haya taarifa ya usaliti inaendelea kusema:

Siku sita baadae yaani Jumatatu ya tarehe 23/6/2008 saa 07:52 asubuhi, Zitto alipigiwa tena simu na Ramadhani Ighondu akimkumbusha maongezi yao waliyo fanya siku 6 zilizopita na kumuomba siku hiyo jioni waonane, ingawa Zitto alionekana kusita kidogo lakini baadae alikubali, Walikubaliana wakutane Sea Cliff Hotel, ilipofika jioni ya siku hiyo Zitto akiwa na marafiki zake wawili Omar Lyasa na Abdalah Said walifika Sea Cliff Hotel wakaketi na kuagiza vinywaji, Baada ya kama dakika kumi hivi Zitto alipokea simu ikimuelekeza alipo bwana Ramadhani Ighondu kisha Zitto akawaambia marafiki zake wamsubiri kidogo, akaondoka kuelekea aliko elekezwa…..

Sishangai ndo akili kubwa hii... Trust and obey, never ask anything. Poleni sana.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
-hono mmonga wenyu yakunyihulika anye wanduguzngu nkhulomba mulechele lukulu makani go ku saliti wanyausi wose we sii yetu ino yono ikunung'ha rushwa.
-agwe john mdodo wangu mnya makang'wa nhaule? Mahala gago wa gasola kwii!


Du kipigo mpaka unaongea kikwenu??? Mtani vipi tena karibu matobolwa
 
Sishangai ndo akili kubwa hii... Trust and obey, never ask anything. Poleni sana.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kwenye mkakati wa mabadiliko kuna aya inasema hivi..." "Tutapost mambo mema na mazuri yatakayokuwa yakifanywa na MM kila wakati na kuzidi kusambaza sifa zake njema kila inapotokea nafasi. Atakayefanya kazi hiyo ni sisi wengine wala si yeye! Pia tutahakikisha kila post ya kumchafua inapatiwa majibu bila kutumia ID yake inayojulikana. Ni vema aidha akatupatia majibu na sisi kuyapost ama afungue ID mpya kabisa ambazo hazijawahi kuwepo kwenye mitandao halafu ndo awe anazitumia kujibu lakini kwa kuzingatia tuliyokwishayazungumza hapo juu yaani kutofanya kwa emotion na kuepuka jazba lakini pia kushauriana na watu wa karibu kabla ya kutoa majibu kwa jambo lolote linalomhusu".

Kinachofanyika sasa kwa wale wanaopenda kusoma na kurejea bila kulkishwa maneno wanajua kinachoendelea.
 
Back
Top Bottom