Madiwani Kwa Lowassa Wasusa

Madiwani Kwa Lowassa Wasusa

Kinachoendelea huko Monduli mda huu, Safari ya kuimalisha upizani ipo imara sana vijana kwa wazee pia akina mama na Madiwani kumi na saba (17) wa CCM kuhamia CHADEMA leo.
attachment.php

CCM wana hali mbaya sana Arusha
 
Aliyesema raisi hatoki kaskazini alidhani atajipigia kura mwenyewe. Hii inakula kwao. Mikoa mingine mbona kimya? Nao waseme ya rohoni au kimya kimya wabadili fikra kuichanachana ccm kwenye sanduku la kura.
Umdhaniae ndiye Kumbe siyo. Duhhh
 
walikuwa 38, mbona wengine hatusikii kelele zao huko wanapotoka mikoani....mwizi mkubwa huyo...mwambie aendelee kuchukia umaskini...wanamonduli ni matajiri maana kawatumikia kitambo sana..
Nchi haiongozwi na mafisadi hii...haturudii makosa.

Wamasai hawana akiri wao wanajua Mungu wao Lowassa tu ..
 
Sass lowasa mbona hatoi kauli au amemuwa detained
 
Waondoke tu manake hakuna jinsi aende kwa mafisad wenzie wa cdm bana,yy ndo anajiona bora saaana kati ya wenzie 38????
 
Aliyesema raisi hatoki kaskazini alidhani atajipigia kura mwenyewe. Hii inakula kwao. Mikoa mingine mbona kimya? Nao waseme ya rohoni au kimya kimya wabadili fikra kuichanachana ccm kwenye sanduku la kura. Umdhaniae ndiye Kumbe siyo. Duhhh
Bado hawajajua..wanyakyusa nao wamalishwa sumu na kupigwa na vitu vizito sana.Soon nao watajitambua kwamba rais hawezi kutoka kwa wanyakyusa.
 
Wanamkomoa nani sasa tehtehteh. Anyway walikuwa wanakula pamoja
 
haya ni maoni tuu
TULIOZALIWA TRH 25:4:1977 TULIKUTA VYAMA VNGI HIVYO HUWEZI SHANGAAA KM HUJUI MGOMBEA BINAFSI MUULIZE MWL KUHUSU MBULU?!!
 
Uongozi si Lazima ipatikane kupitia CCM hao Madiwani wagombee kupitia Chadema.
 
Kinachoendelea huko Monduli mda huu, Safari ya kuimalisha upizani ipo imara sana vijana kwa wazee pia akina mama na Madiwani kumi na saba (17) wa CCM kuhamia CHADEMA leo.
attachment.php

Kumekucha CCM ila CHADEMA hakuna kulala hadi kieleweke.


Bidii yetu itaingiza CHADEMA Madarakani.
 
Kwako wewe tumbo ni muhimu sana..kweli wagaagaa na pwani ni shida..ndio maana waliiachwa na wauza watumwa
we ni double standard ukabila na ukanda umekukamata kama lowasa hawaelewani na chama chake basi ulipaswa ushangilie ili kivunjike
 
Je inatosha kusema tu Nipashe inatumika au ulipaswa kutuambia ukweli wa kinachotokea huko ka EDO ili tuona jinsi Nipashe inavyo tumika.Mbona mahaba yatakutoa makengeza
basi inapaswa tushangilie kuvunjika kwa mkoloni mweusi CCM
 
ni maoni yangu tuu.
tuliozaliwa trh25:4:1977 tulizaliwa mfumo wa vyama vngi ivo hatustaajabu.ila wengi tulipumbazwa na zidumu fikra za mwenyekiti!iv mnanielewa
 
we ni double standard ukabila na ukanda umekukamata kama lowasa hawaelewani na chama chake basi ulipaswa ushangilie ili kivunjike
haha..tangu lini wewe mgagaa na pwani ukajua maana ya double standard..huwa nyie zaidi kumeza kila kitu halafu na kuja kudai kuwa ni wasomi hamna ujanja.NIpo very consistent na malengo ya walio upande wangu.Ni wewe tuu mlemavu wa akili ambaye unatoka sehemu makapi ya watumwa yalitupwa.
 
Back
Top Bottom