Wale waliokuwa wanaratibu maandamano ya kushawishi cc ya ccm impitishe ndio haohao wanaratibu watu wahamie Chadema ili ateuliwe huko.Halafu mzee eddo mwenyewe yuko kimyaaa.
Kinachoendelea huko Monduli mda huu, Safari ya kuimalisha upizani ipo imara sana vijana kwa wazee pia akina mama na Madiwani kumi na saba (17) wa CCM kuhamia CHADEMA leo.
![]()
Kuna msemo uliwahi pata kusemwa kuwa " Kelele za Chura Hazimzuii Ng'ombe kunywa Maji'. Kama Kweli wapinzani hawawezi kuishinda CCM bila ya kutegemea Defectors, then tuseme hakuna upinzani wa dhati na tujiandae kutawaliwa na CCM milele. Leo Alieitwa fisadi amekuwa jiwe la almasi kuu ya Pembeni. Leo yeye akihamia CDM hatokuwa msaliti kama kijana mliomlea, kumkuza na kumwandaa kuwa Kiongozi muda wake ukifika?
#Peace
Chungu kimeshainamishwa...panyabuku wanapuputika humo utadhani hawana akili nzuri..
nyie wakali banaaaa kumbe mnawatapeli chadema bado mmo CCM oyeewweeeeeeeee
kidumu chama cha mapinduzi
Wewe nadhani ndio unatumika vibaya wapi waliposema matumbo yao yamtegemea Lowassa, Jiongeze kiduchu weweNipashe wanatumika vibaya...ina maana hao wote matumbo yao yanamtegemea lowasa?
Nipashe wanatumika vibaya...ina maana hao wote matumbo yao yanamtegemea lowasa?