Madiwani CCM wamkimbia mbunge wa CHADEMA

Madiwani CCM wamkimbia mbunge wa CHADEMA

sheria za mipago miji zinatungwa na mbunge?
na sheria za nchi zinatungwa na watu gani?
madiwani na viongozi wa wilaya wanafanya kazi gani hadi mbunge akawatungie sheria?
kazi ya mbunge ni nyingi mojawapo ni kuwahamasisha katika nyanja zote kijamii kiuchumi na kisiasa.
hebu rudi darasani hoja zako zimejaa chuki ya kisiasa badala ya hoja za maendeleo

Wewe ni mpiga debe wa wabunge wa CDM, siwezi kushindana na wewe maana mwenzangu unalipwa kwa post za kutukana watu wanaojaribu kuwafundisha kazi mabwana zako. Siku wakimaliza kukutumia labda tutaongea maana kwa sasa upo busy kutetea ka ajira kako. Hii ni kwako wewe na wenzako wooote mnaolipwa kwa kukaa vitini mkiwatetea wanaume wenzenu hata upuuzi, kazi hiyo ina mwisho mjiandae kutumika vingine pia.
 
sikushangai sana kwa upeo wako.
sina chama na sii mwanachama wa siasa wala kwa kazi yangu siruhusiwi kuwa na chama
naeleza mazingira halisi,wewe umetanguliza uchama na matusi.
watu kama nyie hamtakiwi TZ ni kikwazo kwa mageuzi tunayotarajia ya kiuchumi na kisiasa
by the way nani anakulipa wewe kutukana wabunge?
wahi mnazi mmoja kachukue fungu lako
 
Mpuuzi huyu mzee, kila kukicha anawaporomoshea matusi, kashfa, dharau na kujiona yeye ndiye anajua kila kitu sasa leo ndio amejua kuwa siasa sio uadui? Aanze kwanza kujifunza yeye na kundi la wavutabangi wenzake.

Sina hakika na utimamu wa mwenye majipu kwa umoja mjipu na hisi umevuta nawe pia hicho kitu unachosema hao wengine wamevuta maana unaonekana una uzoefu nayo
 
Mpuuzi huyu mzee, kila kukicha anawaporomoshea matusi, kashfa, dharau na kujiona yeye ndiye anajua kila kitu sasa leo ndio amejua kuwa siasa sio uadui? Aanze kwanza kujifunza yeye na kundi la wavutabangi wenzake.

Hivi msigwa kumbe ni mzee,heee! Na makinda au wasira tuwaiteje!?vikongwe au ?
 
kwa kazi yangu

Huna kazi yeyote zaidi ya kubusu ass za wanaokuweka hapa mjini, na bora ushukuru maana maisha baada ya boom yangekuwa magum sana kwa vichwa maji kama wewe hapa mjini.
 
hivi mood unaruhusu watu wenye hamnazo kuwa members?
I hereby with due respect praying to you JF moods to issue a permanent bun to this member
he is not qualified to become a member
his level of integrity is below normal human being thinking capacity
there is no doubt that he has breached JF rules
labda tufungue jukwaa lao ndio tutawaelewa


Huna kazi yeyote zaidi ya kubusu ass za wanaokuweka hapa mjini, na bora ushukuru maana maisha baada ya boom yangekuwa magum sana kwa vichwa maji kama wewe hapa mjini.
 
kuna watu wamepungukiwa kwa kweli..sasa msigwa kakosa nini? si mlimleta mwakalebela mkamshindwa wenyewe.acha wivu wa kijinga,uchafu una madhara kwa kila mmoja mamburura nyie
Mpuuzi huyu mzee, kila kukicha anawaporomoshea matusi, kashfa, dharau na kujiona yeye ndiye anajua kila kitu sasa leo ndio amejua kuwa siasa sio uadui? Aanze kwanza kujifunza yeye na kundi la wavutabangi wenzake.
 
kwani upimbi ni kukosoa wanaowagawa wananchi kwenye usafi wa mji au wanaowaunga mkono? Ccm imelewa vibaya kila ikisikia chadema akili zinawaruka, hapo hakuna cha siasa,hao madiwani wa ccm wamechemka!

Upimbi ni kutoelewa na kulazimisha mambo; Msigwa alichotafuta ni picha za propaganda; usafi wa mazingira si kitu geni alikuwa na ulazima gani wa kutaka kuwahusha madiwani wa CCM? Yeye kama lengo lake lilikuwa ni usafi hakuwa na haja yab kuwashirikisha madiwani angewahamasisha wananchi wa kawaida ingetosha sana

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mkuu chama CCM wote ni wachafu kwahiyo wanaogopa kufagiliwa wakati wa kufanya Usafi

Mkuu Precise pangolin
Nionyeshe huyo msafi Chadema? Kuna mtanzania mpaka leo hii ana jereha la moyo kwa kuchukuliwa mke wake; nakusubiri mkuu na hiyo listi ya wasafi wa Chadema

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ritz
Hivi Chadema kunamtambo wa kuzalisha mapimbi? Mwengine huyu sijui kaibukia wapi

Chama
Gongo la mboto DSM

Mkuu chama,
Mambo ya Multiple ID's hayo.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu chama,
Mambo ya Multiple ID's hayo.

Mkuu Ritz
Hawa mapimbi wanaogopa kitu gani? Hata huko kubadili ID haiwasaidii kitu maana pimbi atakuwa pimbi siku zote

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Ritz
Hawa mapimbi wanaogopa kitu gani? Hata huko kubadili ID haiwasaidii kitu maana pimbi atakuwa pimbi siku zote

Chama
Gongo la mboto DSM

Mkuu chama,
Wanataka waonekane wengi kila kamanda mmoja ana IDs 20.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Precise pangolin
Nionyeshe huyo msafi Chadema? Kuna mtanzania mpaka leo hii ana jereha la moyo kwa kuchukuliwa mke wake; nakusubiri mkuu na hiyo listi ya wasafi wa Chadema

Chama
Gongo la mboto DSM

Ha haa haa! Hawezi kurudi tena huyo..
 
Last edited by a moderator:
Mkuu chama,
Wanataka waonekane wengi kila kamanda mmoja ana IDs 20.

Ni IDs za chama chao, wanachofanya ni kugawa password tu, kuna mwanamke pale makao makuu yao Kinondoni anashughulika kuhakikisha tunazo passwords zote ili kila mtu aweze kuingia humo mkuu TUNTEMEKE na wewe utoe mbili tatu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom