Madiwani CCM wamkimbia mbunge wa CHADEMA

Madiwani CCM wamkimbia mbunge wa CHADEMA

Pamoja na wizi wa kura, CCM inaendelea kuwa mdarakani kutoka na baadhi ya watanzania ni bongo lala au njaa, kujikomba kwa mabwana zao...hoja wanazotoa ni aibu tupu, hakuna namna yoyote utaweza kukitetea hiki chama cha kifisadi
 
Walafi wa fedha na mali za maskini, chini ya utawala wa ccm kuna daraja kubwa sn kati ya matajiri wachache na mamilioni ya maskini.
 
Wewe ndio mpuuzi unayefikiria kwa makalio.

Halafu kwa lugha hizi kuna mtu mwenye akili anaweza kufanya kazi na ninyi? Wananchi wa Iringa wataendelea kumpuuza huyo mpuuzi mwenzako na kama mnadhani matusi yanasafisha mji mtumie mchungaji mvuta bangi wenu.
 
Watamkimbia mpaka lini? Mafisadi wana kazi kweli kweli.
 
madiwani na viongozi wa mitaa wanaotokana na chama cha mapinduzi (ccm), katika manispaa ya iringa katika tukio la kushangaza, wamemkimbia mbunge wa iringa mjini, mchungaji peter msigwa, wakati wa operesheni usafi iliyoanza jana ndani ya manispaa hiyo.

Wakati watu mbalimbali wakijitokeza kushirikiana na mbunge huyo kufanya usafi katika kata ya kitanzini, hakuna diwani wala kiongozi wa chama hicho aliyejitokeza kushiriki zoezi hilo, licha ya kuagizwa na kupewa taarifa kimaandishi.

Mbali na kumgomea, madiwani na viongozi hao, wanatuhumiwa kuwakataza baadhi ya wakazi wa mitaa hiyo kushiriki katika kampeni hiyo, kwa madai kwamba ingempatia sifa kubwa mbunge huyo anayetoka chama cha upinzani cha chadema.

“viongozi wetu wa mitaa walipita na kutuonya tusiende kwa sababu kampeni hiyo imeitishwa na mbunge wa upinzani, badala yake tusubiri ile itakayotangazwa na ccm,” alisema mkazi mmoja wa kata ya kitanzini aliyeomba jina lake lisitajwe gazetini.

Madiwani hao hususan wa kata za kitanzini na mshindo, pamoja na kuendesha kampeni dhidi ya mbunge, kata zao ndizo zinazoongoza kwa kusheheni uchafu unaofikia takriban tani 100 katika mitaa ya ubena, madrasat na mtunduruni.

Katika kampeni hiyo, ni madiwani wawili tu wa kata ya mivinjeni, frank nyalusi na wa viti maalumu suzan mgonukulima, wote wa chadema, walioshiriki kikamilifu katika tukio hilo.

Akizungumzia hali hiyo, diwani wa kata ya mivinjeni frank nyalusi (chadema) alionyesha masikitiko yake juu ya madiwani wenzake kutoshiriki zoezi la kuiweka manispaa katika hali ya usafi.

“baada ya kufika hapa nimesikitishwa sana kwa kuwa diwani wa kata hii tunayofanya usafi haonekani, wakati kata yake ndiyo yenye mlundikano mkubwa wa uchafu.

“kama yeye ni kiongozi wa eneo husika ameshindwa kuudhiti uchafu huu hadi mbunge kuingilia kati, hii ni aibu kwa taifa.

“hii inaonyesha wazi kuwa viongozi wa ccm uwezo wao ni mdogo. Mahindi sasa hivi gunia moja ni sh 105,000, wanafunzi wa darasa la kwanza wanatakiwa kuchanga sh 75,000, badala ya wao kujadili mambo haya, wanaangalia mambo ya chama chao tu,” alisema nyalusi.

Diwani wa viti maalumu suzan mgonukulima ambaye pia ni katibu wa chama cha demokrasia na maendeleo manispaa alisema, kama nchi itakuwa na viongozi kama wale waliosusia kampeni hiyo na kujenga moyo wa ushirikiano, hali ya nchi itafikia pabaya.

Akizungumza katika kampeni hiyo, mchungaji msigwa alisema siasa sio uadui na watu wanatakiwa kuwa marafiki katika suala zima la maendeleo ya nchi.

Hata hivyo, diwani wa kata ya kitanzini ambaye pia ni mwenyekiti wa ccm mkoa wa iringa jescar msambatavanu, alisema asingeweza kushiriki kwa sababu alikuwa katika msiba huko njombe.

“niko njombe msibani tangu jana nimefiwa na bibi yangu, na sasa tunajiandaa kwenda kuzika,” alisema msambatavanu.

Naye diwani wa kata ya mshindo daudi albert alipopigiwa simu mara tatu, ili aseme kilichomfanya ashindwe kushiriki, simu yake ilipokelewa na mwanamke aliyedai yupo makambako.

Source;
madiwani ccm wamkimbia mbunge wa chadema

[td="bgcolor: #ffffff"]
na happiness elias, iringa
[/td]
[td="align: Center"][/td]

ni majuzi tu nilimuona mkuu wa wilaya(chrispine meela) akiwatuhumu madiwani wa chadema kwa kukataza wapiga kura wao kuchangia ujenzi wa madarasa hadi akampandisha mhe. Sugu hasira na kuleta mtafaruku ndani ya kikao, sasa kumbe na wao wanatuhuma zilezile za kugomesha wananchi? Kweli wanasiasa wa tanzania wanahitaji kujifunza zaidi.
 
Halafu kwa lugha hizi kuna mtu mwenye akili anaweza kufanya kazi na ninyi? Wananchi wa Iringa wataendelea kumpuuza huyo mpuuzi mwenzako na kama mnadhani matusi yanasafisha mji mtumie mchungaji mvuta bangi wenu.

Utajibeba mpuuzi sisi tunasonga mbele
 
Utajibeba mpuuzi sisi tunasonga mbele

Mnasonga mbele huku mnalia lia baba yupo wapi, CCM ndio baba aliwaambia JK hata wale wasichana kuwa watazunguka mwisho lazima warudi kwa baba. Mtakuwa mnasaidia sana Msigwa kama mkimuambia aache tabia za kipuuzi kama anahitaji msaada wa wana CCM la sivyo atafagia bara bara na mama yake mzazi tu.
 
watu wengine hawafai hata kuitwa binadamu
magonjwa ya mlipuko yakitokea yatachagua chama pia labda
kwa mtindo huu watu kama hawa watabaki kuwa maskini milele na hata vizazi vyao
umeonyesha upumbavu wako
Mpuuzi huyu mzee, kila kukicha anawaporomoshea matusi, kashfa, dharau na kujiona yeye ndiye anajua kila kitu sasa leo ndio amejua kuwa siasa sio uadui? Aanze kwanza kujifunza yeye na kundi la wavutabangi wenzake.
 
Mnasonga mbele huku mnalia lia baba yupo wapi, CCM ndio baba aliwaambia JK hata wale wasichana kuwa watazunguka mwisho lazima warudi kwa baba. Mtakuwa mnasaidia sana Msigwa kama mkimuambia aache tabia za kipuuzi kama anahitaji msaada wa wana CCM la sivyo atafagia bara bara na mama yake mzazi tu.

Mkuu naona unaandika uhalo tu hapa zaidi zaidi hata mwanao akisoma unacho kiandika hawezi amini mzazi wake unaandika uhalo kiasi hiki
 
watu wengine hawafai hata kuitwa binadamu
magonjwa ya mlipuko yakitokea yatachagua chama pia labda
kwa mtindo huu watu kama hawa watabaki kuwa maskini milele na hata vizazi vyao
umeonyesha upubavu wako


Wewe nawe hayo magonjwa ya mlipuko yanasubiri kwanza madiwani wa CCM wasifanye kazi na mpuuzi mmoja? Kwanza hili la usafi inakuwaje ni kazi ya mbunge? Na kama msigwa angekuwa na hata chembe ya akili angewaacha madiwani wa CDM labda na mama yake ndio wafanye huo usafi yeye angeshughulikia utangaji wa sheria za usafi wa miji. Mpuuzi sana mtu kama huyu anayetafuta tu habari za magazeti badala ya utekelezaji wa majukumu yake. Anadhani Iringa imemchagua ili kufagia bara bara? Ajifunze mipaka ya kazi zake mpuuzi.
 
Mkuu naona unaandika uhalo tu hapa zaidi zaidi hata mwanao akisoma unacho kiandika hawezi amini mzazi wake unaandika uhalo kiasi hiki

Lugha hizi zinawafanya hata ninyi wenyewe kwa wenyewe msipatane seusue wana CCM. Mpeni katiba Msigwa ajifunze kazi za mbunge, kusafisha bara bara sio kazi yake.
 
sheria za mipago miji zinatungwa na mbunge?
na sheria za nchi zinatungwa na watu gani?
madiwani na viongozi wa wilaya wanafanya kazi gani hadi mbunge akawatungie sheria?
kazi ya mbunge ni nyingi mojawapo ni kuwahamasisha katika nyanja zote kijamii kiuchumi na kisiasa.
hebu rudi darasani hoja zako zimejaa chuki ya kisiasa badala ya hoja za maendeleo


Wewe nawe hayo magonjwa ya mlipuko yanasubiri kwanza madiwani wa CCM wasifanye kazi na mpuuzi mmoja? Kwanza hili la usafi inakuwaje ni kazi ya mbunge? Na kama msigwa angekuwa na hata chembe ya akili angewaacha madiwani wa CDM labda na mama yake ndio wafanye huo usafi yeye angeshughulikia utangaji wa sheria za usafi wa miji. Mpuuzi sana mtu kama huyu anayetafuta tu habari za magazeti badala ya utekelezaji wa majukumu yake. Anadhani Iringa imemchagua ili kufagia bara bara? Ajifunze mipaka ya kazi zake mpuuzi.
 
Lugha hizi zinawafanya hata ninyi wenyewe kwa wenyewe msipatane seusue wana CCM. Mpeni katiba Msigwa ajifunze kazi za mbunge, kusafisha bara bara sio kazi yake.

naona kazi ya mbunge unayo ijua wewe ni hizi

2Q==


images


Z


images


images


2Q==
 
Kha ha ha ha ha haaaaaa!!!!! Hao ndiyo chama cha majambaziiiiiiii.........a.k.a ccm!



[vQUOTE=Nyunzo;5428339]sasa nimepata jibu magamba wao wamezoea uchafu ndo maana wakaamua kula kona shaa[/QUOTE]
 
Kwani tatizo lipo? wewe unashangaa madiwani kumkimbia mh. Msigwa mbona wao walimkimbia mh. Raisi bungeni na Raisi aliendelea na shughuli zake kama kawaida; Msigwa na wenzake na wasafishe watakapoweza wakichoka madiwani wetu watamalizia patakapo bakia; si nyie ndio mlitufundisha kususa sasa kinawaliza kitu gani?

Chama
Gongo la mboto DSM
cc Ritz; Mzee Mwanakijiji

Rest in badroom Mr Fumbudu
 
Last edited by a moderator:
Kwani tatizo lipo? wewe unashangaa madiwani kumkimbia mh. Msigwa mbona wao walimkimbia mh. Raisi bungeni na Raisi aliendelea na shughuli zake kama kawaida; Msigwa na wenzake na wasafishe watakapoweza wakichoka madiwani wetu watamalizia patakapo bakia; si nyie ndio mlitufundisha kususa sasa kinawaliza kitu gani?

Chama
Gongo la mboto DSM
cc Ritz; Mzee Mwanakijiji
Mkuu chama CCM wote ni wachafu kwahiyo wanaogopa kufagiliwa wakati wa kufanya Usafi
 
Last edited by a moderator:
MADIWANI na viongozi wa mitaa wanaotokana na Chama cha Mapinduzi (CCM), katika manispaa ya Iringa katika tukio la kushangaza, wamemkimbia Mbunge wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa, wakati wa operesheni usafi iliyoanza jana ndani ya manispaa hiyo.

Wakati watu mbalimbali wakijitokeza kushirikiana na mbunge huyo kufanya usafi katika kata ya Kitanzini, hakuna diwani wala kiongozi wa chama hicho aliyejitokeza kushiriki zoezi hilo, licha ya kuagizwa na kupewa taarifa kimaandishi.

Mbali na kumgomea, madiwani na viongozi hao, wanatuhumiwa kuwakataza baadhi ya wakazi wa mitaa hiyo kushiriki katika kampeni hiyo, kwa madai kwamba ingempatia sifa kubwa mbunge huyo anayetoka chama cha upinzani cha CHADEMA.

“Viongozi wetu wa mitaa walipita na kutuonya tusiende kwa sababu kampeni hiyo imeitishwa na mbunge wa upinzani, badala yake tusubiri ile itakayotangazwa na CCM,” alisema mkazi mmoja wa kata ya Kitanzini aliyeomba jina lake lisitajwe gazetini.

Madiwani hao hususan wa kata za Kitanzini na Mshindo, pamoja na kuendesha kampeni dhidi ya mbunge, kata zao ndizo zinazoongoza kwa kusheheni uchafu unaofikia takriban tani 100 katika mitaa ya Ubena, Madrasat na Mtunduruni.

Katika kampeni hiyo, ni madiwani wawili tu wa kata ya Mivinjeni, Frank Nyalusi na wa Viti Maalumu Suzan Mgonukulima, wote wa CHADEMA, walioshiriki kikamilifu katika tukio hilo.

Akizungumzia hali hiyo, Diwani wa Kata ya Mivinjeni Frank Nyalusi (CHADEMA) alionyesha masikitiko yake juu ya madiwani wenzake kutoshiriki zoezi la kuiweka manispaa katika hali ya usafi.

“Baada ya kufika hapa nimesikitishwa sana kwa kuwa diwani wa kata hii tunayofanya usafi haonekani, wakati kata yake ndiyo yenye mlundikano mkubwa wa uchafu.

“Kama yeye ni kiongozi wa eneo husika ameshindwa kuudhiti uchafu huu hadi mbunge kuingilia kati, hii ni aibu kwa Taifa.

“Hii inaonyesha wazi kuwa viongozi wa CCM uwezo wao ni mdogo. Mahindi sasa hivi gunia moja ni sh 105,000, wanafunzi wa darasa la kwanza wanatakiwa kuchanga sh 75,000, badala ya wao kujadili mambo haya, wanaangalia mambo ya chama chao tu,” alisema Nyalusi.

Diwani wa viti maalumu Suzan Mgonukulima ambaye pia ni Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Manispaa alisema, kama nchi itakuwa na viongozi kama wale waliosusia kampeni hiyo na kujenga moyo wa ushirikiano, hali ya nchi itafikia pabaya.

Akizungumza katika kampeni hiyo, Mchungaji Msigwa alisema siasa sio uadui na watu wanatakiwa kuwa marafiki katika suala zima la maendeleo ya nchi.

Hata hivyo, Diwani wa Kata ya Kitanzini ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa Jescar Msambatavanu, alisema asingeweza kushiriki kwa sababu alikuwa katika msiba huko Njombe.

“Niko Njombe msibani tangu jana nimefiwa na bibi yangu, na sasa tunajiandaa kwenda kuzika,” alisema Msambatavanu.

Naye Diwani wa Kata ya Mshindo Daudi Albert alipopigiwa simu mara tatu, ili aseme kilichomfanya ashindwe kushiriki, simu yake ilipokelewa na mwanamke aliyedai yupo Makambako.

source;
Madiwani CCM wamkimbia mbunge wa CHADEMA

[TD="bgcolor: #FFFFFF"]
na Happiness Elias, Iringa
[/TD]
[TD="align: center"][/TD]


Nadhani watanzania bado hatujaelewa siasa za vyama vingi itachukua muda kuja kuelewa maana ya siasa ya vyama vingi. maana hasa ya vyama vingi ni kushindana katika kuwaletea wananchi maendeleo. lengo ikiwa kuwaonyesha wananchi nini chama fulani kinafanya tofauti na kingine. sasa kwa nchi zetu ni tofauti kwanza watu ni wabinafsi sana na kibaya tulipoingia katika vyama vingi watu wameweka maslahi ya chama mbele zaidi kuliko maslahi ya wananchi na hili ni baya sana. sasa hawa madiwani wa CCM kwa kuwa wameweka maslahi ya chama mbele ndio maana wanaona aibu kushiriki kwenye shuhuli za jamii ambazo zimeratibiwa na vyama vya upinzani.
 
Back
Top Bottom