Fundi wako mbovu. Kama fundi mzuri hayapitishi mbu. Tatizo siku hizi kila mtu ni fundi wa madirisha ya aluminium.Habari ndugu zangu.
Mimi nina jambo dogo, madirisha ya alminium, yanayo-slide yana upenyo naona kwenye nyumba yangu yenye wavu wa mbu kwenye madirisha mbu wanapita! Hizi reli zinaacha nafasi.
Hivi tatizo hili wengine mnalo? Au mmelizuiaje? Au mnalikabilije? Nisaidieni jamani.
Tatizo mafundi wenu. Mimi dirisha la chumbani kwangu linakaa wazi muda wote na hakuna mbu anaingia.Hilo tatizo hata mie linanikumba sana inabidi at least kila baada ya siku mbili kupuliza dawa. Kudhibiti hiyo hali lazima usifungue kabisa vioo jambo ambalo haliwezekani kwakweli. Hapo dawa mjitahidi ikifika saa 12 madirisha yafungwe then washa AC pakipoa unaizima ikikaribia muda wa kulala unawasha tena unaizima baada ya muda then mnakula fan tu.
Maybe unapoishi pia mbu sio wengiTatizo mafundi wenu. Mimi dirisha la chumbani kwangu linakaa wazi muda wote na hakuna mbu anaingia.
Mbu wapo ila dirisha halipitishi mbu.Maybe unapoishi pia mbu sio wengi
Ni kweli lakini si aluminum zote.. King furnishing alluminium ndio zina hili tatizo kutokana na wembamba wakeHabari ndugu zangu.
Mimi nina jambo dogo, madirisha ya alminium, yanayo-slide yana upenyo naona kwenye nyumba yangu yenye wavu wa mbu kwenye madirisha mbu wanapita! Hizi reli zinaacha nafasi.
Hivi tatizo hili wengine mnalo? Au mmelizuiaje? Au mnalikabilije? Nisaidieni jamani.
Nenda kwenye maduka yanayuoza vifaa vya madirisha hayo ununue mipira maalum ambayo hubandikwa pembeni ya fremu ya wavu, mimi bibafsi nimefanya hivyo japo si maduka yote wanauza mipira hiyo, nakushauri uende Gerezani Dar es Salaam.
Balaa mzee, hapo funga neti za kuzuia mbu tu then wakati wa kulala unajitandazia unapiga mbonji kama feni ni kitu unatumia then unawasha kwa burudani
Fundi wako mbovu. Kama fundi mzuri hayapitishi mbu. Tatizo siku hizi kila mtu ni fundi wa madirisha ya aluminium.
Wapi nimekwambia napata shida?Weka madirisha ya mbao, kwa nini upate shida yote hiyo wakati madirisha ya mbao ndiyo urithi wetu!
anzisheni uzi wenuTuliojengaa matofali kwenye window kwa kukosa pesa ya dirisha tunacommenti wapi maana mbu tunawaoga
Aisee ni dawa ipi hiyo yakupulizia nje kwenye ukutaKwani mbu wanazuiwa na aina ya madrisha kwamba ukiweka hayo ya kisasa ndo mbu hawaingii ndani ya jengo lako! Suluhuya adha hiyo ni hakikisha chamber za Maji taka zote hazina upenyo wa mbu kufanya mazalia karibu na mji wako, pia uwe na utaratibu wa kuspray kuta madawa ya kuzuia wadudu kama mbu, nzi, mende, kunguni, utaishi kwa amani sana ukiwa na fumigation ya Mara kwa Mara kwenye kuta za nje zote yaani wadudu hutowasikia kwamwe.
Mkuu nipasie namba ya fundi wako.Tatizo mafundi wenu. Mimi dirisha la chumbani kwangu linakaa wazi muda wote na hakuna mbu anaingia.
Mkuu hilo dirisha lako lipo safi tu.Habari ndugu zangu.