Kama nimekuelewa, unamaanisha Shs. 175,000 ni vifaa, ufundi na kufitisha kwa kila dirisha la aluminium?Heshima kwenu wanaJF, nahitaji madirisha 7 ya aluminum, 4 ukubwa ni futi 5x5 na 3 ni futi 4x5 yafitishwe kwenye nyumba iliyopo Kibaha. Uwezo wangu ni sh. 175,000/- kwa dirisha kila kitu mpaka kufitisha. Kazi inahitajika iwe tayari kufikia tarehe 10/02/2017.
nimemuelewa yani hyo ndo bajeti yake kwa kila window full kila kitu yaani ye nikuwacheki majirani na wapita njia .Kama nimekuelewa, unamaanisha Shs. 175,000 ni vifaa, ufundi na kufitisha kwa kila dirisha la aluminium?
Duuh! Ngoja mafundi watakujuzanimemuelewa yani hyo ndo bajeti yake kwa kila window full kila kitu yaani ye nikuwacheki majirani na wapita njia .
Ni mekupmMafundi mbona kimya? Nina Tshs. 1,225,000/- ninahitaji madirisha 7 kwa vipimo tajwa hapo juu.