Madini na jiko za ugermani ya zamani

Madini na jiko za ugermani ya zamani

sara-22

Member
Joined
Apr 6, 2013
Posts
99
Reaction score
14
Habari zenu
hapa mimi natafuta anaye uza madini kama tanzanite,
ruby,dhahabu,almasi na vingenevyo
lakini eshu langu ni (JIKO ) na vifa wa ugermani
e.g sahani, kisu, bakora, siniya, glasi
sasa alama ya jiko hii ni
jiko hilo lina alama ya simba wa wawili na mtende,au alama ya mzungu anaitwa kaisar ,juu ya kichwa chake kuna ndege ,halafu je ina alama" J".na . je hiyo jiko linanasa kiwembe .pia chukue hilo jiko uweke mbele ya kio kisha test je linaonekana kny kioo au alionekani?
kama halionekani basi ndo hilo!!!!
hii jiko moja bei yake kwanzia millioni10 hadi 50tsh
kuwasiliana na mie kuhusu madini na vifaa ya ugermani wa zamani contact me 0654167472 au kwa email yangu
swty-shosho@hotmail.com
 
je unachukua opal ,quarts,felisper na argate:?pm me tupige kazi
 
Huyu jamaa ni mtanzani? Huo ni uzushi mkubwa mara tunatafuta birika ya mjerumani, mara sijui pasi. Kama unataka almasi nenda mwadui wamauza, ukitaka dhahabu nenda North Mara.Tanzanite nenda mererani kuna kampuni inaitwa Tanzanite One watakuuzia
 
mie sitaki za compuni mimi natafuta watu wanao uza kwa bei nzuri ili tufanye biashara hata kama anaye gram moja huwa nazinunus hasante
 
na kuhusu jiko hilo nikweli kabisa kuna mzungu rafki yangu ndo anazitafuta kapata jiko tatu huko songea na sasa anatafuta
 
Dah hii biashara imemfanya kaka yangu mmoja kuwa kama "zuzu" vile,Lushoto ilikaliwa na Wajerumani kwa sababu ya hali ya hewa basi kazunguka kote huko anatafuta "Rupia" za mjerumani.Kweli liwelelo,lol.
 
rupia ni ngumu sanaaaaa no way kuipata

Hahahahahaha! Mnauwezo wa kufika kigoma njia za maji? Kuna babu mmoja anasadikia anavyo hivyo vitu. Masharti yake sasa...,..
 
Mbona hozi mdo zilikuaga swaga za matapeli wa zamani sana? tena wengi wao walojihusisha na mambo ya uganga wajadi sambamba na upuuzi huu!

Yawezekana hii ndo flash back stoly katika utapeli me cjui!!!
 
na kuhusu jiko hilo nikweli kabisa kuna mzungu rafki yangu ndo anazitafuta kapata jiko tatu huko songea na sasa anatafuta

Yellow topaz na aquamarine unanunua bei gani? nipe fb account yako niktmie pictures.
 
Back
Top Bottom